88.9 STORM FM - GEITA

KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870

Pages

  • Home
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • BIASHARA NA UCHUMI
  • MICHEZO NA BURUDANI
  • AFYA
  • ELIMU

Saturday, 22 October 2016

MJADALA WA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WAENDELEO MJINI DODOMA CHINI YA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII.


 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ikiendelea na majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.




 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba (kulia) akielezea  jambo kwa wajumbe wa Kamati yake na viongozi na watendaji wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye kushoto) akijibu hoja mbalimbali za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba



 Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (katikati) akisisitiza jambo kwa  Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.





 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson (kushoto) akifafanua jambo wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.



 Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel  akijibu hoja zilizotolewa na baadhi ya wajumbe ambao wanashiriki kuuchambua Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari  leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.



 Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia majadiliano na hoja mbalimbali katika kikao cha kuujadili  Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kinachoendelea Mjini Dodoma leo Oktoba 21,2016.

Posted by Unknown at 05:41
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • VODACOM TANZANIA FOUNDATION, DORIS MOLLEL FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SH ,MILIONI 24 KWENYE HOSPITALI YA WILAYA YA CHATO, GEITA
    Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Afya), Dkt. Mpoki Ulisubisya akipokea moja ya mashine za kusaidia...
  • YANGA NA MEDEAMA KUCHEZA JUMAMOSI YA JULAI 16 TAIFA
    Mawinga wa Yanga, Simon Msuva (kulia) na Geoffrey Mwashiuya (kushoto) wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Boko Veterani MECHI ya...
  • FOFANA AANZA MAJARIBIO AZAM, MNIGER ATUA
    WAKATI nyota kutoka nchini Ivory Coast Ibrahima Fofana, akianza majaribio leo, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC imempo...
  • SERIKALI HAITACHUA HATUA KWA CHOMBO CHA HABARI KINACHOKOSOA
    Serikali imesema kuwa hakuna chombo chochote cha habari kitakachochukuliwa hatua kwa kuandika habari zenye mrengo wa kukosa sera na ute...
  • BUNGE LATOLEA UFAFANUZI MADAI YA KITWANGA KUJIBU SWALI BUNGENI HUKU AKIWA AMELEWA
    Bunge limekanusha taarifa inayosambazwa katika mitandao ya kijamii na watu wanaodaiwa kuwa ni madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mi...
  • GEITA YAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Geita,Ali Kidwaka akisisitiza waandishi kuwa na umoja na mshikamano katika kutetea na kulinda h...
  • ASKARI AFUKUZWA KAZI MKOANI SIMIYU
    Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limemfukuza kazi askari wake kwa kudaiwa kumtorosha mtuhumiwa wa mauaji katika kituo cha Luguru wilayani It...
  • SHIZZA NA WENGINE 29 WAENDA KAMBINI SIMBA SC MAANDALIZI YA MSIMU MPYA
    KIUNGO mpya wa Simba, Shizza Ramadhani Kichuya ni miongoni mwa wachezaji wanaotarajiwa kuingia kambini Morogoro, Simba SC ikianza r...
  • MWALIMU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA UBAKAJI, WILAYANI BUKOMBE MKOANI GEITA.
    Jeshi la polisi wilayani Bukombe mkoani geita  limemfikisha mahamani mwalimu Jackson Jilaa  wa shule ya msingi kakoyoyo kata ya Buleg...
  • KAMBI RASMI YA UPINZANI YAPINGA TABIA YA KUTUMBUA MAJIPU INAYOFANYWA NA SERIKALI YA RAIS MAGUFULI
    KAMBI Rasmi ya Upinzani imepinga tabia ya ‘kutumbua majipu’ inayofanywa na serikali ya Dk John Magufuli hivyo imewataka watumishi na wate...

Popular Posts

  • HOFU, KUTOJIAMINI ZAPELEKEA UPOTEVU WA HAKI KWA WANAWAKE GEITA
    Baadhi ya wadau wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa mwanamke wakiwa kwenye kikao cha pamoja kilichokuwa kimelenga kujadili sera na sheria y...
  • VYUO 20 VYAFUTIWA USAJILI NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
    Leo June 8, 2018  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limefuta usajili wa vyuo 20 kwa kushindwa kufuata utaratibu wa usaji...
  • HII NDIO REKODI YA YANGA NA AZAM KUANZIA 2008-2016
  • SHULE ZA SEKONDARI KIBONDO ZAONGOZA KWA UFAULU KITAIFA
    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (Mb) akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya kuwasili kwenye jimbo lake l...
  • WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AZINDUA WIKI YA MAZIWA NCHINI,AAHIDI KUINUA SEKTA HIYO
    Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Luhaga Mpina(wa pili kulia) akikata utepe kuzindua Wiki ya Maziwa kitaifa kwenye uwanja maonesho ya Kilimo na...
  • PM MAJALIWA - TUNA KAZI KUBWA YA KUELIMISHA JAMII KUHUSU FISTULA
    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna kazi kubwa kuhakikisha jamii inafikishiwa ujumbe kuhusu tatizo la fistula na at...
  • WANANCHI WA NYAKAGWE WAIOMBA SERIKALI KUWATENGENEZEA DARAJA
    Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Nyakagwe wakivuka Mto kwa kuvua viatu kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye eneo hilo. Mwan...
  • PM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHANGUO CHA URAFIKI NA KUKUTA MADUDUDU
      Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi na viongozi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki cha jijini Dar es salaam baada...
  • KINARA WA UTEKAJI AUWAWA MKOANI GEITA
    Mtu mmoja anayejulikana kwa majina ya Panda Kinasa mwenye miaka 36 anayetuhumiwa kuwa kinara wa utekaji  watu ameuwawa kwa kupigwa na risa...
  • MFUMUKO WA BEI NCHINI WAENDELEA KUPUNGUA TOKA 3.8% HADI 3.6%
     Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo akifafanua jambo alipokuwa...

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2018 (289)
    • ►  June (13)
    • ►  May (63)
    • ►  April (93)
    • ►  March (43)
    • ►  February (41)
    • ►  January (36)
  • ►  2017 (406)
    • ►  December (10)
    • ►  November (64)
    • ►  October (30)
    • ►  September (34)
    • ►  August (25)
    • ►  July (8)
    • ►  June (12)
    • ►  May (24)
    • ►  April (49)
    • ►  March (39)
    • ►  February (66)
    • ►  January (45)
  • ▼  2016 (711)
    • ►  December (19)
    • ►  November (26)
    • ▼  October (46)
      • TAARIFA KUTOKA IKULU KUHUSU SIKU YA KWANZA YA ZIAR...
      • TEMESA YAANZISHA PROGRAMU YA KUBAINI VIPURI BANDIA.
      • SHULE YA MSINGI BUTWA HAINA WALIMU WA KIKE
      • MTENDAJI MKUU TEMESA AWATAKA WAFANYAKAZI WA MV TAN...
      • MKUU WA WILAYA YA BUKOMBE JOSEPHAT MAGANGA ATOA SE...
      • MOROCCO KUJENGA UWANJA WA MPIRA MKOANI DODOMA.
      • UDSM WATAKIWA KUHAKIKISHA KINAENDELEA KUWA CHUO KI...
      • MKURUGENZI WA HABARI AWATAKA WADAU WA TASNIA YA HA...
      • MAKAMBA ASIKITISHWA NA UPUNGUFU WA MAJI ZIWA RUKWA...
      • MJADALA WA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI W...
      • KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YA...
      • MAGONJWA YASIOAMBUKIZWA TISHIO KWA VIFO VYA WATOTO...
      • MIKOA SABA NCHINI KUNUFAIKA NA MRADI WA MPANGO WA...
      • WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI GEITA BADO NI CHANGAM...
      • WAZIRI NAPE:MUSWADA WA HABARI KUIBADILI TAALUMA
      • WATU 10 WAPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA AJALI YA BASI ...
      • WATU 13 WAFIKISHWA KIZIMBANI KWA MAUAJI YA WATAFIT...
      • JAMBAZI AWAJERUHI KWA BOMU ASKARI NA RAIA WANNE MK...
      • GGM YAFADHILI MILIONI 20 KWA AJILI YA MAKTABA KATI...
      • WAZIRI MWIJAGE AITAKA NBS KWA KUSHIRIKIANA NA WADA...
      • MHE. KAIRUKI AWAHIMIZA WATUMISHI WA UMMA MKOANI MW...
      • TEMESA SHINYANGA YAZIDAI MILLIONI 163 HALMASHAURI,...
      • WACHIMBAJI WA MADINI WATAKIWA KUJIPATIA ELIMU NA T...
      • MHE ANASTAZIA WAMBURA ATEMBELEA JAKAYA MRISHO KIKW...
      • PICHA:GARI ILIYOMBEBA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE...
      • MTENDAJI MKUU TEMESA AWAFUKUZA KAZI WAFANYAKAZI SI...
      • SERIKALI YABARIKI MBIO ZA KILI MARATHON
      • PICHA:WAZIRI NAPE NNAUYE ASHIRIKI SIKU YA KITAIFA ...
      • SERIKALI YAKIRI UHABA WA DAWA HOSPITALINI
      • RAIS MAGUFULI AFUTA SAFARI ZA VIONGOZI WA SERIKALI...
      • MTENDAJI MKUU TEMESA AWATAKA WATENDAJI WAKE KUJIT...
      • PICHA:DKT. NDUMBARO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA NCHI...
      • PICHA:MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA SHEM...
      • RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KW...
      • SERIKALI KUHAKIKISHA IDADI KUBWA YA WANANCHI VIJIJ...
      • SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AFUMUA KAMATI YA BUNGE N...
      • PICHA:WAZIRI NAPE NNAUYE ASEMA NGOMA ZA ASILI NI C...
      • WALIOMPIGA MWANAFUNZI MBEYA DAY WAFUKUZWA CHUO
      • PICHA:WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO PR...
      • BEI ZA MAFUTA KWA MWEZI OKTOBA ZASHUKA
      • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALAANI MAUAJI YA WATAF...
      • PICHA:RAIS WA CONGO JOSEPH KABILA AHAIDI KUENDELE...
      • PICHA:MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AFUN...
      • PICHA:RAIS MAGUFULI ALIVYOMPOKEA RAIS WA CONGO JOS...
      • RIPOTI:BENKI YA DUNIA YATAJA IDADI YA WATU MASIKIN...
      • WAZIRI NAPE NNAUYE ATOA TAMKO DHIDI YA MECHI ILIYO...
    • ►  September (59)
    • ►  August (62)
    • ►  July (68)
    • ►  June (98)
    • ►  May (96)
    • ►  April (87)
    • ►  March (101)
    • ►  February (49)
Simple theme. Powered by Blogger.