Sunday 12 June 2016

PICHA:WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AHUDHURIA SHEREHE YA KUMSIMIKA ASKOFU MKOANI GEITA



Viongozi wa Kiserikali wakiwasili Jimboni kwa ajili ya kushuhudia ibada ya kusimikwa kwa Askofu Flavian Kassala.




Viongozi mbalimbali wawakiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa.



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Askofu Flavian Kassala


























Baadhi ya waumini waliokuwepo katika kushuhudia tukio la Kumsimika Askofu Flavian Kassala





Askofu Flavian Kassala katika hatua za awali za Kusimikwa

















No comments:

Post a Comment