KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI.
TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870
MESSI APIGA MBILI NA KUMSETIA SUAREZ MOJA BARCA IKIUA 3-2 SAMPDORIA MCHEZO WA KIRAFIKI
Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Lionel Messi (kulia) baada ya kufunga katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Sampdoria kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Camp Nou. Mabao ya Barca yalifungwa na Messi mawili na Suarez moja, wakati ya Sampdoria yalifungwa na Luis Muriel na Ante Budimir
No comments:
Post a Comment