Monday 20 June 2016

MAMA MMOJA MKOANI GEITA AJIFUNGUA WATOTO WALIOUNGANA VICHWA.



Katika hali isiyo ya kawaida mama mmoja ajulikanaye kwa jina la Grace Said mkazi waKijiji cha  Kasesa  Kata ya Kaseme mkoani Geita amejifungua watoto ambao wameungana vichwa hali ambayo imepelekea  kuwepo kwa mshangao mkubwa kwa wanakijiji.

Baadhi ya wanakijiji wamezungumza na Storm Habari na kusema kuwa wanaamini yawezekana ni mkosi kutokana na kuzaliwa watoto wa namna hiyo.

No comments:

Post a Comment