Wednesday 29 June 2016

RAIS MAGUFULI AFANYA MAREKEBISHO MADOGO KATIKA UTEUZI WA WAKUU WA WILAYA


Uteuzi huo umetenguliwa katika wilaya ya Serengeti ambapo ndg.Emile Ntakamulenga aliteuliwa kimakosa na badala yake amemtea Ndg.Nurdin Babu kujaza nafasi hiyo.

Kabla ya kufanya utenguzi huo pia Rais Magufuli alitengua uteuzi wa DC wa Ikungi Ndg.Fikiri Avias na kumteua Bw.Miraji Mtutura ambaye alikuwa katibu wa CCM mkoa wa Mwanza kujaza nafasi hiyo.


No comments:

Post a Comment