Sunday 19 June 2016

PICHA MBALIMBALI WAZIRI NAPE NA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM WALIVYOSHIRIKI SIKU YA KIMATAIFA YA YOGA





 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimia na Balozi wa India nchini Mhe. Sandip Arya mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Coco kushiriki Siku ya kimataifa ya Yoga leo June 19, 2016.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na Balozi Peter Kallaghe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika viwanja vya Coco kwenye hafla ya  kuadhimisha  Siku ya kimataifa ya Yoga leo June 19, 2016.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Yoga iliyofanyika katika viwanja vya Coco leo June 19, 2016 kushoto ni Balozi wa India nchini Mhe. Sandip Arya .














Balozi wa India nchini Mhe. Sandip Arya akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Yoga iliyofanyika katika viwanja vya Coco leo June 19, 2016 kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza katika Siku ya Kimataifa ya Yoga iliyofanyika katika viwanja vya Coco kushiriki Siku ya kimataifa ya Yoga leo June 19, 2016 katikati ni Balozi wa  nchini Mhe. Sandip Aryan na kulia ni Mkuu wa Mkoa  wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda.







Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifanya mazoezi mbalimbali katika kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Yoga iliyofanyika Leo June 19, 2016 Jijini Dar es Salaam.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akifanya mazoezi katika kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Yoga iliyofanyika Leo June 19, 2016 Jijini Dar es salaam kulia ni Balozi Peter Kallaghe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.







Washiriki kutoka sehemu mbalimbali wakifanya mazoezi mbalimbali katika kusherekea Siku ya kimataifa ya Yoga iliyofanyika leo June 19, 2016 Jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifurahia jambo na Balozi wa India nchini Mhe. Sandip Arya mara baada ya kumaliza kufanya mazoezi  katika viwanja vya  Coco katika kuadhimisha Siku ya kimataifa ya  Yoga leo June 19, 2016.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Yoga yafanyika leo  June 19, 2016 katika viwanja vya Coco Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment