Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime akisaini
kitabu cha wageni alipowasili ofisini kwa Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura kuwasilisha taarifa ya mapendekezo ya
kuboresha tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura akizungumza na
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime mara
baada ya kupokea taarifa ya mapendekezo ya kuboresha tasnia ya
Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa
Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime akizungumza na Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura ofisini kwa Naibu
Waziri wakati aki wasilisha taarifa ya mapendekezo ya kuboresha
tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
Afisa Utamaduni kutoka
Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Habibu Msammy akichangia
mada wakati wa majadaliano kati ya na Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura na Katibu Mkuu wa
Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime kuhusu maboresho ya
tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura akipokea moja
ya kazi ya muziki wa dansi alizowahi kufanya Mzee Kitime baba wa
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime leo Julai 21 Jijini
Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia
Wambura (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu
wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime(kulia), wa pili
kushoto ni Afisa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa
na Michezo Bw. Habibu Msammy na kushoto katibu wa Naibu Waziri Bi.
Anna Nkinda leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment