Tuesday 12 July 2016

PICHA:MAPOKEZI YA URENO MABINGWA WA ULAYA LISBON 'YACHAFUKA WATU'


Umati wa wananchi wa Ureno uliojitokeza kwenye maandamano ya kuwapokea wachezaji wa timu yao ya taifa mjini Lisbon Jumatatu wakirejea kutoka Ufaransa ambako jana waliwafunga wenyeji 1-0 na kutwaa Kombe la Euro 2016  


No comments:

Post a Comment