Friday 1 April 2016

SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI ATEMBELEWA JUMUIYA YA AHMADIYYA MUSLIM JAMAAT.


 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana  na Kiongozi wa
Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheik Tahir  Mahmoud
aliyemtembelea pamoja na viongozi wenzake Ofisini kwake Jijini Dar es
Salaam.


Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Viongozi wa
Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania waliomtembelea Ofisini kwake
Jijini Dar es Salaam.Wa kwanza kulia ni Kiongozi wa Jumuiya hiyo nchini
Sheik Tahir Mahmoud.




 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja
na viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania
waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment