Saturday 2 April 2016

PICHA:SPIKA WA BUNGE MHE. JOB NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI WA BUNGE HII LEO.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi wa Bunge.

 Kamati hiyo inayojumuisha Wenyeviti wote wa Kamati za Kudumu za Bunge ilikutana ili kufanya thathmini ya shughuli za kamati za Kudumu za Bunge kabla ya Serikali kuwasilisha Mapendekezo ya Mpango na ukomo wa Bajeti ya mwaka 2016/17 wiki ijayo.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiteta jambo na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati cha Kamati ya Uongozi ya Bunge leo tarehe 2/42016 Ofisi ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.

Kamati hiyo inayojumuisha Wenyeviti wote wa Kamati za Kudumu za Bunge ilikutana ili kufanya thathmini ya shughuli za kamati za Kudumu za Bunge kabla ya Serikali kuwasilisha Mapendekezo ya Mpango na ukomo wa Bajeti ya mwaka 2016/17 wiki ijayo.

No comments:

Post a Comment