Friday 1 April 2016

PICHA:MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WAKABIDHI MABATI 300 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA.

1
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga Akisalimiana na Kamimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita Deus Seif wakati alipowasili kwa ajili ya kukabidhiwa mabati 300 na mfuko wa Pensheni wa LAPF.
2
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akisalimiana na Watumishi.
3
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akitoa neno katika mkutano wa makabidhiano ya Mabati na Mfuko wa Pensheni LAPF.
45
James Mlowe Meneja Masoko na Mawasiliano LAPF akionyesha bati walizozitoa zenye thamani ya shilingi milioni saba.
67
Makabidhiano yakifanyika
8
Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akishukuru baada ya kupokea msaada wa mabati kutoka LAPF.
9

No comments:

Post a Comment