Friday 1 April 2016

PICHA :WALIMU WAKIWA KATIKA SEMINA YA WATOTO NA VITABU ILIYOANDALIWA NA NELICO

1
Msimamizi mkuu wa mradi watoto na Vitabu kutoka Shirika lisilo la kiserikali NELICO  Moses Marwa akizungumza na Walimu wa Shule mbalimbali waliopata mradi wa Watoto na Vitabu juu ya mafanikio ya mradi huu.
2
Baadhi ya Walimu wa Shule za Msingi 15 Walionufaika na Mradi wa Watoto na Vitabu.
345
Afisa Elimu Taaluma Halmashauri ya Wilaya ya Geita Steven Mase akizungumza na Walimu juu ya Mradi huu ulivyoleta tija kwa wanafunzi na kutaka mradi huu upanuliwe na kufikia shule nyingi.

No comments:

Post a Comment