Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (katikati) akifafanua jambo kwa Wajumbe wa
Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) (hawapo pichani) kuhusu majukumu mbalimbali
ya Benki hiyo wakati wa Kikao cha siku mbili cha Kuwajengea Uwezo
Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya benki hiyo kilichofanyika jijini Dar
es Salaam 13-14 Januari, 2017.
Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya
Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) wakiteta
jambo wakati wa Kikao cha siku mbili cha Kuwajengea Uwezo
Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya benki hiyo kilichofanyika jijini Dar
es Salaam 13-14 Januari, 2017.
Mwenyekiti wa Kamati
ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (wa pili
kulia) akiwaeleza jambo Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali
(PAC) pamoja Watendaji wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wakati wa Kikao cha siku
mbili cha Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo
kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kilichofanyika jijini Dar es
Salaam 13-14 Januari, 2017.
Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Kamati ya
Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (wa pili
kulia) pamoja na Viongozi mbalimbali wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)
wakifurahia jambo wakati wa Kikao cha siku mbili cha Kuwajengea Uwezo Wajumbe
wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kilichofanyika
jijini Dar es Salaam 13-14 Januari, 2017.
No comments:
Post a Comment