Thursday 16 February 2017

PICHA: TANZANIA ITAENDELEA KUWA MWENYEJJI WA PROGRAMU YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA





Mwenyekiti wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akitoa maelezo kuhusu Programu hiyo kwa wajumbe katika kikao kilichofanyika jana Jijini  Dar esSalaam.




Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwasilisha mchango wake kwa wajumbe wakati wa kikao cha Programu ya Urithi wa Ukombozi wa  Bara la Afrika kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam.


Mtaalamu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Dkt.Daniel Ngagala akiwasilisha mada wakati wa kikao na wajumbe waProgramu hiyo kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam.


Waziri  wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Mwinyi akichangia mjadala wakati wa kikao cha Programu yaUrithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akiwasilisha mchango wake katika kikao cha Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kilichofanyika janaJijini Dar es Salaam.


 Baadhi ya Wataalamu wa Program yaUrithi waUkombozi wa Bara la Afrika wakiwasilisha mawazo yao katika kikao cha Programu hiyo kilichofanyika jana Jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment