Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za
Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa (kulia) na pamoja na
Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki wakisaini Mkataba wa ujenzi
wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo
ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za
Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa (kulia) na pamoja na
Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki wakibadilishana Mkataba wa
ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa
hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za
Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa (kulia) na pamoja na
Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya
Ukandarasi ya Yapi Merkezi Insaat ya nchini Uturuki wakionyesha kwa waandishi
wa habari Mkataba wa ujenzi wa mradi wa
Reli ya Kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo
Septemba 29, 2017.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za
Reli (RAHCO) Masanja Kadogosa akizungumza katika hafla
ya utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka
Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hawa Ghasia
akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa mradi wa
ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika
leo Septemba 29, 2017.
Baadhi
ya Wahandisi kutoka kampuni ya Ukandarasi ya Yapi Merkezi
Insaat ya nchini Uturuki wakifuatilia hafla ya utiaji saini saini wa mkataba wa
mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa
hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Baadhi
ya Wafanyakazi kutoka shirika la Reli Nchini (TRL) na kampuni
hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO)
wakifuatilia hafla ya utiaji saini saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli
ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo
Septemba 29, 2017.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
(Uchukuzi) Dkt. Leonard Chamuriho akizungumza akizungumza katika hafla ya
utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro-
Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
1 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame
Mbarawa akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bodi ya Kampuni ya Ukandarasi ya Yapi
Merkezi Insaat ya nchini Uturuki, Erdem Ariogl
pamoja na Kaimu Balozi wa nchini hiyo Yunus Belet wakati wa utiaji saini
wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro- Makutopora
(Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza katika hafla ya
utiaji saini wa mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Morogoro-
Makutopora (Dodoma). Halfa hiyo ilifanyika leo Septemba 29, 2017.
No comments:
Post a Comment