Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Chama
cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) leo
Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi,
inayowajibika na thabiti kiutendaji”
Jaji
Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akielezea jambo mbele ya washiriki wa
mkutano wa wananchama wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi za Jumuiya ya
Madola (CMJA) leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga
Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”
Rais
wa Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania Mhe. Jaji Ignas Kitusi akifafanua
jambo mbele ya washiriki wa mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi
wananchama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya
mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti
kiutendaji”
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia
jambo na Rais wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wananchama wa Jumuiya
ya Madola (CMJA) Jaji John Rounders wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa chama hicho leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Paramagamba Kabudi. Kaulimbiu ya mkutano huo
ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”
Kikundi
cha sanaa kutoka shule ya Sekondari Jitegemee wakituimbuza katika mkutano wa
Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wananchama wa Jumuiya za Madola (CMJA)
leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama
shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”
Gavana
wa Benki Kuu Tanzania Prof. Benno Ndulu (wa kwanza kushoto) na Jaji Mkuu
Mstaafu Mhe. Othman Chande (wa pili) wpamoja na baadhi ya Majaji Wakuu kutoka
nchi mbalimbali za Jumuiya ya Madola akiwemo Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu ya
Kenya Jaji Francis Maraga (aliyekaa juu) wakifuatilia mkutano wa Chama cha Majaji
na Mahakimu kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) leo Jijini Dar es
Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika
na thabiti kiutendaji”
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wanawake wa Mkutano wa Chama cha
Majaji na Mahakimu kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) mara baada
ya kufungua mkutano huo leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni
“Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”
No comments:
Post a Comment