Tuesday 24 April 2018

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA NCHINI YAMPONGEZA AGNES MGEYEKWA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU TZ

 
Jaji wa Mahakama Kuu, Agnes Mgeyekwa akipokea ua kutoka kwa afisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Christina Binali kufuatia kuteuliwa kushika wadhifa huo. Mgeyekwa kabla ya kuteuliwa alikuwa Katibu Msaidizi wa Tume.

 

Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Casmir Kyuki akizungumza wakati wa kumpongeza Agnes Mgeyekwa kuteuliwa Jaji wa Mhakama Kuu ya Tanzania.


Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania Mhe Agnes Mgeyekwa akitoa neno kwa watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria 


Katibu Msaidizi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Khalist Luanda akizungumza wakati wa kumpongeza Agnes Mgeyekwa kuteuliwa Jaji wa Mhakama Kuu Tanzania


Naibu Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Asangye Bangu akizungumza wakati wa kumpongeza Agnes Mgeyekwa kuteuliwa Jaji wa Mhakama Kuu. Bangu ni mume wa mhe. Mgeyekwa


Familia ya mhe. Jaji Agnes Mgeyekwa 

Watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria wakiwa katika picha ya pamoja na mhe. Jaji Agnes Mgeyekwa   
 

No comments:

Post a Comment