Monday 23 April 2018

PICHA: YALIYOJIRI BUNGENI LEO APRILI 23, 2018 MJINI DOMOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu Bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akijibu swali  bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
  
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, Bungeni mjini Dodoma  Aprili 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akiteta na Naibu Waziri ,Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, Bungeni mjini Dodoma, Aprili23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment