Wednesday 18 April 2018

PM KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Jana Aprili 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Jana Aprili 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment