Monday 23 April 2018

NAIBU WAZIRI MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI, MJINI DODOMA


Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara yake, mjini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu

 


Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu) akimsikiliza Mjumbe wa Baraza hilo, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini (TABOA), Enea Mrutu alipokuwa masuala ya usalama barabarani katika kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara, mjini Dodoma leo. Kushoto meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu. 

 

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Fortunatus Musilimu, akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu), wakati wa kikao cha Baraza hilo lililokua linajadili masuala mbalimbali ya usalama barabarani. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara yake, mjini Dodoma leo. Kushoto meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa.




Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu) akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara yake, mjini Dodoma leo. Kushoto meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo, Elius Kwandikwa. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu wa Baraza hilo, Fortunatus Musilimu. 

(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

No comments:

Post a Comment