Tuesday 10 May 2016

WANANCHI WAHAMASISHWA KUWEKEZA KWENYE DHAMANA ZA SERIKALI.


\Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha kutoka Benki kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Alexander Ng'winamila (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam kuhusu uwekezaji kwenye dhamana za Serikali. Kulia ni Meneja Msaidizi Uhusiano wa Umma na Itifaki wa BOT Bi. Victoria Msina na Kushoto ni Meneja Msaidizi Masoko ya Ndani wa BOT Bw. Genes Kimaro.

 Meneja Msaidizi Masoko ya Ndani wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Genes Kimaro (kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam kuhusu aina na faida za uwekezaji kwenye dhamana za Serikali.

No comments:

Post a Comment