Thursday 19 May 2016

MTU MWENYE UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIANI AELEZA SABABU ZA KUISHI MAISHA MAREFU

"Sikutaka kutawaliwa na mtu yeyote na ndio kimenifanya niishi mpaka leo"alisema bibi huyo

Akiongea na New York times mwaka 2015 alisema kuwa mayai hayo mabichi anakula mara mbili kwa siku na pia alikuwa na wapenzi wengi hapo awali enzi za usichana wake lakini baada ya kuingia kwenye ndoa isiyo na furaha kwake aliachana na mumewe mwaka 1938 na hakuwahi kuolewa tena………
Bibi huyo amekuwa mtu mwenye umri mrefu zaidi duniani baada ya Susannah Mushatt Jones kufariki siku ya  May 12 2016.
susannah-mushatt-jones
Susannah Mushatt Jones enzi za Uhai wake

No comments:

Post a Comment