Sunday 22 May 2016

MGODI WA DHAHABU WA GEITA NA TACAIDS WAZINDUA KAMPENI INAYOLENGA KUPIGA VITA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI























Mgodi wa Dhahabu wa Geita(GGM) kwa kushirikiana na TACAIDS walizindua rasmi kampeni inayolenga kupiga vita maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.


Msanii wa nyimbo za asili Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ alifanikiwa kupata dili la kuwa balozi wa  Kili Challenge kwa mwaka 2016,  na kusaini Mkataba wa Kili Challenge hivi karibuni na usiku wa May 20 2016 walifanya uzinduzi rasmi ya kampeni hiyo inayolenga kupiga vita maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

Picha:Na Millard Ayo


No comments:

Post a Comment