Wednesday 25 May 2016

SERENGETI BOYS YAITUNGUA MALAYSIA 3-0 NA KUSHIKA NAFASI YA TATU.

boys
Serengeti Boys wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Malaysia katika mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu katika michuano ya vijana ya AIFF ya nchini India.


Ushindi huo unaipa Serengeti Boys nafasi ya tatu kupitia mabao matatu yaliyofungwa na Rashid Abdallah katika dakika ya 13, Shabani Zubeiri katika dakika ya 41 na  Mushin Malima akamalizia bao la tatu katika dakika za lala salama za kipindi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment