Saturday 21 May 2016

NI MIAKA 20 SASA TANGU KUTOKEA KWA AJALI YA MELI YA MV BUKOBA.









Mei 21,1996 katika ziwa Victoria, meli ya MV Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 kupoteza maisha. Meli hiyo ilizama ikiwa imebakiza kilomita 30 kutia nanga kwenye bandari ya Jiji la Mwanza ikitokea mkoani Kagera.
 Na leo ni miaka 20 tangu ajali hiyo itokee. Daima tutazidi kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza maisha kutokana na ajali hiyo pia tunasema bwana ametoa na bwana ametwaa siku zote jina lake litahimidiwa milele ...Mwenyezi mungu alaze roho za marehemu mahala pema peponi

No comments:

Post a Comment