Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mhe.Selemani Jafo akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya kitaifa ya
maboresho ya huduma za umma na utoaji Madaraka
kwa tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa unaofanyika katika ukumbi wa Hazina leo Mkoani Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI Mhe.Tixon Nzunda akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha ya
kitaifa ya maboresho ya huduma za umma na utoaji Madaraka kwa tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
unaofanyika katika ukumbi wa Hazina leo
Mkoani Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu-TAMISEMI Dk Zainabu Chaula(kushoto mwenye miwani) pamoja na washiriki
wengine wa warsha ya kitaifa ya maboresho ya huduma za umma na utoaji
Madaraka kwa Tawala za Mikoa na Serikali
za Mitaa wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mhe.Selemani Jafo(hayupo pichani) leo mkoani Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo na Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongela wakifuatilia mada mbalimbali
zinazowasilishwa na Taasisi ya Uongozi Institute wanaoendesha warsha ya kitaifa ya maboresho ya huduma za
umma na utoaji Madaraka kwa tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa inayofanyika katika ukumbi wa Hazina leo Mkoani
Dodoma.
No comments:
Post a Comment