Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo,
Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) pamoja na baadhi ya Viongozi wa Jeshi la
Kujenga Taifa (JKT) wakimpongeza Mwanariadha Alphonce Simbu kwa kuibuka mshindi
wa tatu ambapo alijinyakulia medali ya shaba. Hafla hiyo ilikuwa ni maalum ya
kumpokea yeye pamoja na wanariadha wengine wakiwasili Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa J.K Nyerere toka nchini Uingereza kwenye Mashindano ya Marathon ya
2017.
Mwanariadha Alphonce Simbu akiwaonyesha Waandishi wa
habari (hawapo pichani) medali ya shaba aliyoshinda katika Mashindano ya Mbio
nchini Uingereza kwa mwaka 2017.
Wazazi wa Mwanariadha Alphonce Simbu wakiwaonyesha
Waandishi wa habari (hawapo pichani) medali ya shaba aliyoshinda mtoto wao
katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa mwaka 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo,
Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) pamoja na baadhi ya Viongozi wa Jeshi la
Kujenga Taifa (JKT) akipoka bendera ya Taifa toka kwa Wanariadha Aphonce Simbu
na wenzake baada ya kuwasili toka nchini Uingereza kwenye Mashindano ya
Marathon ya 2017.
Mwanariadha
Alphonce Simbu akiwashukuru Viongozi mbalimbali waliokuja kumpokea na
kumpongeza kwa ushindi wake katika Mashindano ya Mbio nchini Uingereza kwa
mwaka 2017 ambapo aliweza kujinyakulia medali ya shaba
No comments:
Post a Comment