Tuesday, 1 November 2016

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI HII LEO MJINI DODOMA



Baadhi ya wabunge wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.



Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Najma Giga akiongoza mkutano wa tano wa Bunge la 11 unaoendelea Mjini Dodoma. 

`
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na  watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. 



Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma. 



Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Stela Manyanya akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.



Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Mabula akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.



Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango akiwasilisha Bungeni mapendekezo ya Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2017/2018 katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.



Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti Mhe. Hawa Ghasia akiwasilisha taarifa ya kamati yake kuhusiana na mapendekezo ya Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2017/2018 katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.



Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akijadiliana jambo na Mbunge wa Sengerema Mhe. William Ngeleja wakati wa mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa(kulia) akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Mabula(kushoto) wakati wa mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.



Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.



Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira na  watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akijadiliana jambo na Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha asubuhi cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment