Thursday 10 November 2016

MWILI WA WAZIRI WA ZAMANI WA ELIMU, JOSEPH MUNGAI WAAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM



    Rais mstaafu, Benjamin Mkapa akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva wakati wa shughuli za kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa kuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.



Baadhi ya Viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakifuatilia shughuli za kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.



Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wakati wa shughuli za kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa kuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.



Rais Dkt. John Pombe (wa tatu kulia) akiwa katika ibada maalum ya kumwombea aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.


Familia ya Hayati, Joseph Mungai wakifuatilia kwa makini shughuli za kuagwa kwa mwili wa Waziri huyo wa zamani wa Serikali zilizofanyika leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.


Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.


Makamu wa Rais mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.


Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.


Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai aliyeagwa leo katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam.


 Waombolezaji wakipita katika jeneza la aliyewahi kuwa Waziri wa zamani wa Serikali, Joseph Mungai wakati wa shughuli za kuagwa kwa mwili wa Kiongozi huyo leo Jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment