Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana
na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akizungumza na vyombo vya habari kuhusu Tuzo
aliyoshinda Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi.
Jenifer Shigole katika tuzo za African entrepreneurship Awards zilizofanyika
nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha masuala ya
Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana
na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea cheti
alichoshinda Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment
ltd Bi. Jenifer Shigole katika tuzo za African entrepreneurship Awards
zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza na kujishindia mtaji
wa dola laki moja na nusu.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana
na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea Tuzo kutoka kwa Mjasiriamali na
Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole aliyoshinda
katika tuzo za African entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka
mshindi wa kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na
kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.
Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia
Investment ltd Bi. Jenifer Shigole Bi. Jenifer Shigole akiwaonyesha waandishi
wa habari(hawapo pichani) tuzo aliyoshinda nchini Morocco na kufanikiwa kushika
nafasi ya kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia
mtaji wa dola moja na nusu. Kushoto ni Meneja wa Programu wa kampuni ya Malkia
Investment Bw.Juma Rajabu.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea Tuzo kutoka kwa Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole aliyoshinda katika tuzo za za African entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana Bi.Venerose Mtenga na wa kwanza kushoto ni Meneja wa Programu wa kampuni ya Malkia Investment Bw.Juma Rajabu.