KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870
Wednesday, 28 February 2018
MHE BITEKO NA MHE MAVUNDE WATINGA MKOANI SHINYANGA KWA ZIARA YA KIKAZI
Naibu Waziri wa wizara ya Madini Mhe Doto Mashaka Biteko (Kushoto) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde (Kulia) wakifatilia taarifa ya Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kuwasili Mkoani humo kwa ziara ya kikazi, Leo 27 Februari 2018.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga Bi Haula Kachwamba akizungumza jambo mara baada ya Naibu Waziri wa wizara ya Madini Mhe Doto Mashaka Biteko (Kulia) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde (Kushoto) kuzuru katika ofisi za chama wakiwa katika ziara ya kikazi, Leo 27 Februari 2018.
Naibu Waziri wa wizara ya Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akisisitiza jambo mara baada ya kuwasili Mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi akiwa sambamba na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde, Leo 27 Februari 2018.
Tuesday, 27 February 2018
NAIBU WAZIRI NYONGO ASISITIZA UTULIVU NA AMANI KWA WACHIMBAJI WADOGO
Naibu Waziri wa nishati na madini,Stanslaus Nyongo akizungumza na wachimbaji wadogo wa Kijiji cha Nyakafulu wilayani Mbongwe wakati alipokuwa kwenye ziara yake ya kikazi Mkoani Geita. |
Naibu Waziri wa nishati na madini,Stanslaus Nyongo akiwa kwenye shimo ambalo linatumika kuingilia ndani kwaajili ya kuchimba. |
Naibu Waziri wa nishati na madini,Stanslaus Nyongo akizunguka na kukagua baadhi ya maeneo ya mgodi wa Nyakafulu. |
Rais wa shirikisho la wachimbaji wadogo wa madini nchini Bw John Bina akizungumza na wachimbaji wadogo wa Nyakafulu wilayani Mbongwe. |
Bw,Iddy Mrisho ambaye ni mchimbaji akielezea masikitiko yake na namna ambavyo wamekuwa wakinyanyasika kutoka kwa viongozi wa vikundi. |
Baadhi ya wachimbaji wadogo wakimsikiliza Naibu waziri wa madini,Staslaus Nyongo. |
Monday, 26 February 2018
WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA TAKUKURU JUU YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MASASI
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa TAKUKURU mkoa
wa Mtwara Bw. Stephen Mafipa kumtafuta popote alipo na kumkamata
aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Masasi Bw. Fortunatus
Kagoro kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha.
WANANCHI WAMLILIA NAIBU WAZIRI NYONGO WALALAMIKA KUCHELEWESHEWA FIDIA
Mzee Slvanus Matanywa akilia mbele ya Naibu Waziri wa madini Stanslaus Nyongo kutokana na kucheleweshewa fidia zao kwa muda mrefu. |
Wananchi wakimsikiliza Naibu Waziri wa madini Stanslaus Nyongo wakati alipokuwa akitia maelekezo. |
Naibu Waziri wa madini Stanslaus Nyongo,akizungumza na moja kati ya wakina mama ambao wanamadai ya kulipwa Fidia. |
![]() |
Wananchi wakifungua njia ya barabara ya kutoka mgodini baada ya kuagizwa na Naibu waziri Staslaus Nyongo. |
![]() |
Katibu wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Geita,Julius Peter (Kulia )akizungumza na Naibu waziri wa madini wakati alipofika na kuzungumza na wananchi. |
![]() |
Naibu Waziri wa madini Stanslaus Nyongo,akikagua na kuangalia Bwawa ambalo limesababisha athari kwenye mazao ya wananchi. |
Friday, 23 February 2018
UBOVU WA BARABARA WAKWAMISHA MAENDELEO
Barabara ya mtaa wa Nshinde Kata ya Nyankumbu Wilayani Geita ikiwa imeharibika kutokana na mvua ambazo zinaendelea Kunyesha. |
Mwananchi akishindwa kupita na usafiri kwenye Barabara ambayo imeharibika kwa kiasi kikubwa. |
Mwenyekiti wa mtaa wa Shinde Bw,Makoye Mirambo akizungumza juu ya uharibifu huo unavyowaathiri wananchi wake. |
WANAWAKE WANAOISHI MAENEO YA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI KUNUFAIKA KATIKA HILI
MAKAMU WA RAIS AITAKA SIMIYU KUENDELEZA MPANGO WA EQUIP-TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiongea na wadau wa Elimu Mkoani Simiyu, leo wakati wa Kongamano
kubwa la Elimu ya Juu lililoandaliwa na Chuo Kikuu Huria Tanzania kwa
kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka
akimuelezea Makamu wa Rais (hayupo pichani) namna utekelezaji wa mpango wa EQUIP-Tanzania unavyofanyika
mkoani humo katika kongamano la Elimu ya Juu lililofanyika leo, mkoani humo.

Mkuu wa DFID-Tanzania Bibi Elizabeth Arthy
akizungumza mbele ya Makamu wa Rais juu ya mchango wa Serikali ya Uingereza
katika kuboresha elimu nchini Tanzania katika kongamano la Elimu ya Juu
lililofanyika leo, mkoani Simiyu.
"NI BORA TUKAWIE LAKINI TUFIKE" MHE BITEKO
Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akikagua kinu cha kuchakata dhahabu mara baada ya kutembelea mgodi wa uchimbaji dhahabu wa Shanta Gold Mine uliopo katika Kijiji na Kata ya Saza akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Songwe, Leo 22 Februari 2018.
Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akikagua baadhi ya mitambo ya uchenjuaji madini katika mgodi wa uchimbaji dhahabu wa Shanta Gold Mine uliopo katika Kijiji na Kata ya Saza akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Songwe, Leo 22 Februari 2018.
Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akikagua njia ya kwenda kwenye mgodi wa chini mara baada ya kutembelea mgodi wa uchimbaji dhahabu wa Shanta Gold Mine uliopo katika Kijiji na Kata ya Saza akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Songwe, Leo 22 Februari 2018.
Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akizungumza na wafanyakazi wa mgodi wa Shanta uliopo katika Kijiji na Kata ya Saza Wilayani Songwe, Leo 22 Februari 2018
UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA GEITA WAFIKIA ASILIMIA 35
Michoro ya ramani ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Geita. |
Kaimu Meneja wa Wakala wa majengo mkoani Geita Mhandisi Glads Jefta akielezea maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Rufaa. |
Kaimu Meneja wa Wakala wa majengo mkoani Geita Mhandisi Glads Jefta akionesha michoro ya ramani ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa. |
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali Teule ya mkoa wa Geita Bw ,Simon Rweyemamu pamoja na mwenyekiti wa halmashauri ya mji,Leornad Bugomola wakikagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Rufaa. |
Mwenyekiti wa halmashauri ya Mji wa Geita.Leornad Kiganga Bugomola akikagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita. |
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali Teule ya mkoa wa Geita Bw ,Simon Rweyemamu,akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua iliyopo kwa sasa ya ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Geita. |
Kaimu Mganga mfawidhi Mkoa wa Geita,Dkt Joseph Odero akizunguma juu ya changamoto ambazo zipo kwa sasa kutokana na hospitali iliyopo kuwa ndogo. |
Hospitali ya rufaa Mkoani Geita inayojengwa Mtaa wa Magogo kata ya
Bombambili mjini Geita inatarajiwa kuhudumia wagonjwa zaidi ya elfu moja wa nje
na zaidi ya 480 watakaokuwa wakilazwa.
|
Thursday, 22 February 2018
MAKAMU WA RAIS AWAHIMIZA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan akiagana na wananchi wa Wilaya ya Maswa mara baada ya mkutano wa Hadhara uliofanyika Uwanja wa Nguzo Nane mjini Maswa.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)