Monday 12 September 2016

WAZIRI NAPE NNAUYE AKABIDHIWA RASMI MAGETI YANAYOTUMIA MFUMO WA MASHINE ZA TIKETI ZA KIELETRONIKI KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara yake Prof Elisante Ole Gabriel mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kukabidhiwa rasmi mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja huo Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikata utepe kuashiria kuanza kutumika rasmi kwa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiweka kadi  katika moja ya geti linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki tayari kuingia katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipita katika moja ya geti linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na watendaji wa  Wizara yake, wadau wa michezo, wanamichezo na wanahabari mara baada ya kukabidhiwa na kuzindua rasmi mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja huo Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016. 



Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akizungumzia mradi wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016. 



Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Jamali Malinzi akitoa salamu za wadau wa mchezo wa mpira wa miguu kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa hafla ya mkabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki kwa Serikali katika Uwanja huo Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.



Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai akizungumzia utekelezaji wa mradi wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki uliotekelezwa na kampuni yake kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa hafla ya mkabidhiano ya mageti hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.



Mhandisi Mshauri wa mradi wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki Mhandisi Aloyce Mushi akieleza changamoto mbalilmbali kuhusu mradi huo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa hafla ya mkabidhiano ya mageti hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.



Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai wakitia saini hati za makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika hafla iliyofanyika  Septemba 11, 2016 katika Uwanja wa Taifa  Jijini Dar es Salaam.



Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai wakionesha hati za makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika hafla iliyofanyika  Septemba 11, 2016 katika Uwanja wa Taifa  Jijini Dar es Salaam.




Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea kadi za kuingia katika Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kutoka kwa Meneja Mradi kutoka kampuni ya Selcom Tanzania Bw. Gallus Runyeta wakati  wa hafla ya makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki iliyofanyika  katika Uwanja wa Taifa  Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akionesha kadi za kuingia katika Uwanja wa Taifa kwa ajili ya viongozi wakuuwa nchi wakiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati  wa hafla ya makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki iliyofanyika  katika Uwanja wa Taifa  Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea Saluti kutoka kwa kiongozi wa Bendi ya Polisi mara baada ya kumalizika kwa hafla ya makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki iliyofanyika  katika Uwanja wa Taifa  Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati waliokaa) aliwa katika picha ya pamoja na wadau wa michezo nchini mara baada ya kumalizika kwa hafla ya makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki iliyofanyika  katika Uwanja wa Taifa  Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016 kulia waliokaa ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel na kushoto waliokaa ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva.

No comments:

Post a Comment