Thursday 8 September 2016

WACHIMBAJI WALIA KWA KULIPISHWA TOZO MBALIMBALI ZISIZOKUWA NA RISITI

Wachimbaji wa eneo la Buziba Kata ya Lwamgasa Wilayani Geita ambao wamegundua machimbo hayo mwezi july wamedai kunyanyaswa kwa kutozwa asilimia kubwa ya mifuko ya mchanga wa dhahabu,kulipishwa tozo ya mrabaha bila kupewa risiti hali ya kuwa hawafahamu fedha hizo zinapokwenda.

Wameongeza kuwa wamekuwa wakipangiwa saa za mchana tu kuchimba huku wakidai baadhi ya watu wamekuwa wakishiriki kuchimba usiku na hali ya kuwa kuna walinzi na kuomba waruhusiwe kuchimba usiku.

No comments:

Post a Comment