Saturday 9 July 2016

WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AMTEMBEA ASKARI ALIYEPIGWA RISASI KATIKA TUKIO LA KUPAMBANA NA MAJAMBAZI
















Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Lameck Nchemba, leo July 8 2016 ameamua kwenda hadi Temeke kumtembelea na kumjulia hali PC Shaban (F.9060)aliyejeruhiwa na majambazi wakati wa mapambano akiwa katika ulinzi wa Benki.


Katika tukio hilo la ujambazi lilipelekea askari mmoja kupoteza maisha  na kujeruhi wafanyakazi wa benki hiyo.

No comments:

Post a Comment