Sunday 17 July 2016

MOURINHO AANZA NA USHINDI WA 2-0 MAN UNITED

Mshambuliaji wa Manchester United, Will Keane (kulia) akishangilia na kiungo Juan Mata baada ya kufunga bao katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Wigan kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa DW, huo ukiwa mwanzo mzuri kwa kocha mpya Mreno, Jose Mourinho. Bao lingine la United lilifungwa na kiungo Andreas Pereira.

No comments:

Post a Comment