KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI.
TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870
PICHA:MAPOKEZI YA URENO MABINGWA WA ULAYA LISBON 'YACHAFUKA WATU'
Umati wa wananchi wa Ureno uliojitokeza
kwenye maandamano ya kuwapokea wachezaji wa timu yao ya taifa mjini Lisbon
Jumatatu wakirejea kutoka Ufaransa ambako jana waliwafunga wenyeji 1-0 na
kutwaa Kombe la Euro 2016
No comments:
Post a Comment