Wednesday 18 January 2017

PICHA:KAMATI YA BUNGE YA MALIASILI YAFANYA ZIARA MOROGORO




Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Atashista Nditiye akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbaolojia wa Mbegu, kutoka Wakala wa Mbegu za Miti Nchini (TTSA), Ndugu Fandey Mashimba ya jinsi ya uoteshaji wa mbegu za miti




Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii walipotembelea Ofisi za Wakala wa Mbegu Nchini (TTSA) leo Mjini Morogoro



Mbaolojia wa Mbegu, kutoka Wakala wa Mbegu za Miti Nchini (TTSA), Ndugu Fandey Mashimba akiwalezea wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii namna ambavyo Wakala huo unavyozalisha mbegu za miti

No comments:

Post a Comment