Wednesday 23 May 2018

WAZIRI MAKAMBA AZUNGUMZA NA WANAHABARI JUU YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Afisa Misitu Mwandamizi toka Ofisi ya Makamu wa Rais  Timotheo Mande.





Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Afisa Misitu Mwandamizi toka Ofisi ya Makamu wa Rais  Timotheo Mande.

No comments:

Post a Comment