Thursday 15 June 2017

MHE.KIGWANGALLA AZINDUA RIPOTI YA WATOTO LEO MJINI DODOMA



Mkurugenzi  wa Watoto Bi Margareth Mussai akiwa na wabunge wa Viti Maalum Bi Fatma Taufiq, Kiteto Koshuma na Bi.Suzan Lyimo katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.



Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi Sihaba Nkinga akisoma kipeperushi katika banda la UNICEF  katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.



Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akipata maelezo baada ya kutembelea banda la Plan Internaltional katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.







No comments:

Post a Comment