
Timu ya Storm fm FC wakijiandaa kuingia
uwanjani kwaajili ya mchezo wa kirafiki na timu ya wakogwe wa Mpira
Lwamgasa katika Mchezo huo Timu ya Lwamgasa iliweza kuibuka mshindi kwa
gori tatu kwa mbili na kujitwalia kiasi cha Shilingi laki moja
Sherehe ya kukata keki iliendelea ikiongozwa na
Mkurugenzi mtendaji wa Storm fm Bi. Modesta
Mselewa.
No comments:
Post a Comment