Friday 22 September 2017

PICHA: MKUTANO WA BARAZA LA UJENZI



 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Joseph Nyamuhanga akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa wakati mkutano wa baraza la ujenzi nchini mapema leo jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa wajumbe wa baraza la ujenzi wakati wa mkutano wa baraza hilo mapema leo hii jijini Dar es Salaam



Wajumbe wa baraza la ujenzi wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa wakati wa mkutano wa baraza hilo mapema leo hii jijini Dar es Salaam.



Mwenyekiti wa Baraza la Ujenzi nchini akifafanua jambo kwa wajumbe wa baraza hilo  wakati wa mkutano wa baraza hilo mapema leo hii jijini Dar es Salaam.



Wajumbe wa Bara la Ujenzi nchini wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa wakati mkutano wa baraza la ujenzi nchini mapema leo jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment