Monday 25 September 2017

PICHA: MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA MAJAJI JUMUIYA YA MADOLA



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa  ufunguzi wa Mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”



Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akielezea jambo mbele ya washiriki wa mkutano wa wananchama wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi za Jumuiya ya Madola (CMJA) leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”



Rais wa Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania Mhe. Jaji Ignas Kitusi akifafanua jambo mbele ya washiriki wa mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wananchama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Rais wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wananchama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) Jaji John Rounders wakati wa  ufunguzi wa Mkutano wa chama hicho leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Paramagamba Kabudi. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”



Kikundi cha sanaa kutoka shule ya Sekondari Jitegemee wakituimbuza katika mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wananchama wa Jumuiya za Madola (CMJA) leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”



Gavana wa Benki Kuu Tanzania Prof. Benno Ndulu (wa kwanza kushoto) na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Othman Chande (wa pili) wpamoja na baadhi ya Majaji Wakuu kutoka nchi mbalimbali za Jumuiya ya Madola akiwemo Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu ya Kenya Jaji Francis Maraga (aliyekaa juu) wakifuatilia mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wanawake wa Mkutano wa Chama cha Majaji na Mahakimu kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola (CMJA) mara baada ya kufungua mkutano huo leo Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya mkutano huo ni “Kujenga Mahakama shirikishi, inayowajibika na thabiti kiutendaji”





No comments:

Post a Comment