88.9 STORM FM - GEITA

KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870

Pages

  • Home
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • BIASHARA NA UCHUMI
  • MICHEZO NA BURUDANI
  • AFYA
  • ELIMU

Monday, 31 October 2016

TAARIFA KUTOKA IKULU KUHUSU SIKU YA KWANZA YA ZIARA YA RAIS MAGUFULI NCHINI KENYA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema Kenya ni nchi inayoongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania ikilinganishwa na nchi nyingine za Bara la Afrika.
Read more »
Posted by Unknown at 12:54 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Sunday, 30 October 2016

TEMESA YAANZISHA PROGRAMU YA KUBAINI VIPURI BANDIA.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu (kulia) akisikiliza taarifa ya kituo cha TEMESA Iringa kutoka kwa Meneja wa kituo hicho Mhandisi Ian Makule.
 
Meneja wa TEMESA Iringa Mhandisi Ian Makule (Kulia) akimuonesha Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu (kushoto) stoo ya vifaa kwa ajili ya ukarabati mdogo wa magari.
Read more »
Posted by Unknown at 13:13 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Friday, 28 October 2016

SHULE YA MSINGI BUTWA HAINA WALIMU WA KIKE



Shule  ya msingi Butwa iliyopo katika kijiji hicho ndani ya  kisiwa cha Izumacheli ziwa Victoria upande wa Wilaya ya Geita inakabiliwa na uhaba mkubwa wa walimu wanawake,  jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo ya elimu kwa mtoto wa kike.
Read more »
Posted by Unknown at 09:32 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Wednesday, 26 October 2016

MTENDAJI MKUU TEMESA AWATAKA WAFANYAKAZI WA MV TANGA KUZINGATIA USALAMA WA ABIRIA



Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu (katikati) akitoa maelekezo ya kiutendaji kwa  Meneja Msaidizi TEMESA Tanga Mhandisi Mahangaiko  Ngoroma (kushoto) alipotembelea kituo hicho, kulia ni Mhasibu wa TEMESA Tanga Bw. Lusenga David.



Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu (kushoto aliyesimama) akizungumza  na watumishi wa TEMESA Tanga wakati alipotembelea kituo hicho kuangalia hali ya utendaji kazi, kulia ni Meneja Msaidizi TEMESA Tanga Mhandisi Mahangaiko Ngoroma.
Read more »
Posted by Unknown at 12:04 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Tuesday, 25 October 2016

MKUU WA WILAYA YA BUKOMBE JOSEPHAT MAGANGA ATOA SEMINA KWA WALIMU NA WARATIBU WA ELIMU



















Kumekuwa na Tuhuma mbalimbali kwa wanafunzi wa kike kuwa na mahusiano na Walimu hadi kupelekea wanafunzi hao kupata ujauzito na wahusika baadhi yao ni walimu kujaribu kutoa ujauzito huo ili kupoteza ushahidi hali ambayo imesababisha wanafunzi kupoteza maisha yao na wengine kunusurika kifo, wengine kuacha shule kabisa, na taarifa hizi zimekuwa zikifichwa kuanzia ngazi ya kijiji, kata na mashuleni kutokana na  wazazi/walezi na baadhi ya walimu kusaidiana kuficha taarifa hizo.
Read more »
Posted by Unknown at 00:56 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

MOROCCO KUJENGA UWANJA WA MPIRA MKOANI DODOMA.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli amesema kuwa wamekubaliana na Mfalme Mohamed  wa Sita  wa Morocco kujenga Uwanja wa Mpira wa miguu wa kisasa mkoani Dodoma utakaogharimu dola milioni 100.
Read more »
Posted by Unknown at 00:33 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Monday, 24 October 2016

UDSM WATAKIWA KUHAKIKISHA KINAENDELEA KUWA CHUO KIONGOZI KATIKA VYUO VIKUU NCHINI


 Mhadhiri wa Heshima Prof. Tade Aina toka nchini Nigeria akielezea hali ya vyuo vikuu vya Afrika katika muktadha wa Kimataifa wakati wa kongamano la kuazimisha miaka 55 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu hicho mapema hii leo Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam.



Baadhi ya washiriki wa kongamano maalum la kuazimisha miaka 55 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakimsikiliza kwa makini Mhadhiri wa Heshima Prof. Tade Aina toka nchini Nigeria wakati akielezea hali ya vyuo vikuu vya Afrika katika muktadha wa Kimataifa mapema hii leo Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam.


Rais Mstaafu wa awamu ya nne ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kushoto) wakati wa kongamano la kuazimisha miaka 55 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mapema hii leo Chuoni hapo, katikati ni Mhadhiri wa Heshima Prof. Tade Aina toka nchini Nigeria.




Rais Mstaafu wa awamu ya nne ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Wakuu wa Vitivo wa Chuo hicho wakati wa kongamano la kusherehekea kutimiza miaka 55 toka kuanzishwa kwa chuo hicho.
Read more »
Posted by Unknown at 13:00 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

MKURUGENZI WA HABARI AWATAKA WADAU WA TASNIA YA HABARI KUTOA MAONI KUHUSU MUSWADA WA HABARI



Mkurugenzi wa Habari, Hassani Abbas (kulia) akizungumza jambo na Mwandishi Mwadamizi wa Gazeti la Jambo Leo, Mashaka Mgeta (kushoto) wakati  wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mhariri Mtendaji Anicetus Mwesa.


Mkurugenzi wa Habari,  Hassani Abbas (kushoto), akizungumza na Wahariri Waandamizi wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa (katikati), Exuper  Kachenje na Kizito Noya wakati  wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam.



Mkurugenzi wa Habari,  Hassani Abbas (kushoto), akizungumza na Wahariri Waandamizi wa Gazeti la Jambo Leo, Joseph Lugendo (kushoto), na Joseph Kulngwa wakati  wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas (katikati) akizungumza na Bodi ya Uhariri ya gazeti la Jambo Leo wakati wa ziara wakati  wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa Habari, Hassani Abbas (kulia) akipokelewa na Kaimu Mhariri Mkuu wa gazeti la Majira, Eckland Mwaffisi wakati wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam.


Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Majira, Imma Mbughuni akimkaribisha Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas wakati wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas  akizungumza na watendaji wakuu wa gazeti la Majira, akiwemo Mhariri Mtendaji, Imma Mbunghuni  wakati wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Jonas Kamaleki.

Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wakuu wa gazeti la Majira, Imma Mbughuni (kulia) na Kaimu Meneja Mkuu wa kampuni ya Bussines Times Ltd Sophia Mshangama (kushoto).


Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas akisalimiana na mpigapicha wa gazeti la Majira, Heri Shabani   wakati wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam.

Posted by Unknown at 12:55 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

MAKAMBA ASIKITISHWA NA UPUNGUFU WA MAJI ZIWA RUKWA, ATOA MAAGIZO


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.January Makamba ameendelea na ziara ya kikazi katika Mkoa wa Rukwa. Katika ziara yake Waziri Makamba ameshuhudia uharibifumkubwa wa mazingira hususan pembezoni mwa ziwa Rukwa.
Read more »
Posted by Unknown at 00:03 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Saturday, 22 October 2016

MJADALA WA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WAENDELEO MJINI DODOMA CHINI YA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII.


 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ikiendelea na majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.




 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba (kulia) akielezea  jambo kwa wajumbe wa Kamati yake na viongozi na watendaji wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye kushoto) akijibu hoja mbalimbali za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba



 Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (katikati) akisisitiza jambo kwa  Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.





 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson (kushoto) akifafanua jambo wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.



 Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel  akijibu hoja zilizotolewa na baadhi ya wajumbe ambao wanashiriki kuuchambua Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari  leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.



 Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia majadiliano na hoja mbalimbali katika kikao cha kuujadili  Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kinachoendelea Mjini Dodoma leo Oktoba 21,2016.

Posted by Unknown at 05:41 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Friday, 21 October 2016

KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAENDELEA KUUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI 2016 MJINI DODOMA





Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii pamoja na viongozi wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakiwa katika kikao cha kujadiliana kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 ambapo wamejadili na kupitia kifungu kwa kifungu katika Muswada huo leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.



Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika kikao cha majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kulia) akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kati ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wizara yake leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson (kushoto) akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kati ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wizara husika leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.


Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kati ya Kamati hiyo na Wizara husika leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Posted by Unknown at 01:21 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Wednesday, 19 October 2016

MAGONJWA YASIOAMBUKIZWA TISHIO KWA VIFO VYA WATOTO NCHINI



 Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu

Imeelezwa kuwa asilimia 30 ya vifo vyote nchini vinavyotokea kwa watu wenye umri wa kuanzia miaka 15 na kuendelea, vinatokana na magonjwa yasiyokuwa ya kuambukiza kama vile kisukari, saratani, msukumo wa damu na magonjwa sugu ya mfumo wa hewa.
Read more »
Posted by Unknown at 13:04 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

MIKOA SABA NCHINI KUNUFAIKA NA MRADI WA MPANGO WA KUBORESHA ELIMU



Serikali kupitia Mradi wa Mpango wa Kuboresha Elimu – EQUIP (Education Quality Improvement Programme) imeendelea kuboresha mfumo wa Elimu hapa nchini katika nyanja ya mitaala kwa wanafunzi wa darasa la kwanza mpaka la tatu, uongozi bora katika shule za msingi pamoja na mifumo ya utoaji taarifa na takwimu sahihi.
Read more »
Posted by Unknown at 12:52 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Tuesday, 18 October 2016

WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI GEITA BADO NI CHANGAMOTO KATIKA UTOVU WA NIDHAMU


Shule ya sekondari Geita iliyopo Wilayani na Mkoani geita ni moja kati ya shule ambazo zimeendelaea kuwa na changamoto nyingi moja wapo ni wanafunzi  kugoma, kuharibu, miundombinu na hata kuwafanyia  Fujo Walimu
Read more »
Posted by Unknown at 13:45 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

WAZIRI NAPE:MUSWADA WA HABARI KUIBADILI TAALUMA





Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwasilisha kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mswada wa Sheria ya Huduma za Habari 2016 leo Mjini Dodoma Oktoba 18,2016
Read more »
Posted by Unknown at 13:09 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

WATU 10 WAPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA AJALI YA BASI LA BARCELONA MKOANI LINDI





Watu 10 wamefariki dunia na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Barcelona walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Lindi  kupata ajali eneo na Miteja mkoani Lindi.
Read more »
Posted by Unknown at 02:42 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

WATU 13 WAFIKISHWA KIZIMBANI KWA MAUAJI YA WATAFITI DODOMA



Wanawake wanne na wanaume tisa wamefikishwa mahakamani mjiniDodoma na kusomewa mashtaka ya mauaji ya watafiti wa Chuo cha Utafiti wa Udongo na Maendeleo ya Ardhi kilichopo Selian mkoani Arusha. 
Read more »
Posted by Unknown at 02:30 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

JAMBAZI AWAJERUHI KWA BOMU ASKARI NA RAIA WANNE MKOANI KIGOMA




Polisi na raia wanne wamejeruhiwa kwa bomu la kutupwa kwa mkono walipokuwa wakimkamata mtuhumiwa wa ujambazi kwenye Kijiji cha Uvinza mkoani Kigoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba 14. 
Read more »
Posted by Unknown at 02:25 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Monday, 17 October 2016

GGM YAFADHILI MILIONI 20 KWA AJILI YA MAKTABA KATIKA SHULE YA NYANKUMBU




Mkuu wa Wilaya ya Geita,Herman Kapufi akizindua maktaba ya kisasa iliyopo shule ya wasichana ya nyakumbu iliyopo kata ya Nyakumbu.


Msemaji wa shirika lisilo la Kiserikali la Read International Stella Mtega,akishukuru kwa GGM kwa kufanikisha kutoa fedha ambazo zimesaidia kununua vitabu kwaajili ya maktaba.


Afisa mahusiano wa GGM Manase Ndoloma akiwaeleza wanafunzi  wa shule ya  sekondari ya wasichana  nyakumbu umuhimu wa kupenda kusoma vitabu ni kwenye uzinduzi wa maktaba katika shule hiyo ulio fanyika leo tarehe 17 Oktoba.
Read more »
Posted by Unknown at 12:56 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

Popular Posts

  • UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA GEITA WAFIKIA ASILIMIA 35
    Kaimu Mganga mfawidhi Mkoa wa Geita,Dkt Joseph Odero akizungumza na  Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali Teule ya mkoa wa Geita Bw ,Simon Rwey...
  • MAKAMU WA RAIS AWAHIMIZA WANANCHI KUCHANGIA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU
    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Maswa kwenye mkutano wa H...
  • PICHA:MAMA JANET MAGUFULI AKITOA MSAADA MKOANI LINDI KWA WATU WASIOJIWEZA
    Wananchi wa Kijiji cha Nandagwa Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi w...
  • MATUKIO MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LEO APRILI 16, 2018
    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Viti Maalumu Upendo Peneza. katika Viwanja vya Bunge Dodoma leo April ...
  • BENKI YA NMB YAZUNGUMZA NA WALIMU MKOANI GEITA
      Mkuu wa kitengo cha Biashara Kwa Wateja Binafsi na Mauzo wa NMB Omar Mtiga  Akizungumza na walimu wakati wa Kongamano ambalo limeand...
  • PM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHANGUO CHA URAFIKI NA KUKUTA MADUDUDU
      Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi na viongozi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki cha jijini Dar es salaam baada...
  • DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CCM
      Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ikulu jijin...
  • WANANCHI WAMLILIA NAIBU WAZIRI NYONGO WALALAMIKA KUCHELEWESHEWA FIDIA
     Facebook  Twitter Naibu Waziri wa madini Stanslaus Nyongo  akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ziwani  kata ya Nyarugusu W...
  • "WIZARA, TAASISI ZA SERIKALI ZITUMIE NISHATI MBADALA" – PM MAJALIWA
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla wakati alipowasili kwenye viwanja v...
  • RAIS MAGUFULI AZINDUA AWAMU YA PILI YA PROGRAMU YA KUENDELEZA KILIMO NCHINI
     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi Awamu ya Pili ya Programu ya ...

Popular Posts

  • RAISI WA SUDAN KUSINI SALVA KIIR AWASILI NCHINI TANZANIA KWA ZIARA YA SIKU MOJA
    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Bi Mindi Kasiga amesema Rais Kiir anafanya ziara ya kikazi ya siku moja ambapo anatarajiwa kuwa na...
  • MANCHESTER UNITED YAMFUTA KAZI LOUIS VAN GAAL
    Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefutwa kazi kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi...
  • MFUMUKO WA BEI NCHINI WAENDELEA KUPUNGUA TOKA 3.8% HADI 3.6%
     Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo akifafanua jambo alipokuwa...
  • SAMATTA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO EUROPA LEAGUE GENK IKIUA 2-0
    MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amefunga bao lake la kwanza katika michuano ya Europa League usiku huu, ti...
  • HOFU, KUTOJIAMINI ZAPELEKEA UPOTEVU WA HAKI KWA WANAWAKE GEITA
    Baadhi ya wadau wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa mwanamke wakiwa kwenye kikao cha pamoja kilichokuwa kimelenga kujadili sera na sheria y...
  • PICHA:MAPOKEZI YA URENO MABINGWA WA ULAYA LISBON 'YACHAFUKA WATU'
    Umati wa wananchi wa Ureno uliojitokeza kwenye maandamano ya kuwapokea wachezaji wa timu yao ya taifa mjini Lisbon Jumatatu wakirejea k...
  • MAHAFALI YA PILI NA TATU YA KIDATO CHA SITA WAJA SEKONDARI YAFANA MKOANI GEITA
    Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya  WAJA  wakiwa kwenye msafara wa kuingia ukumbini kwaajili ya sherehe za kupongezwa kuhitim...
  • MKUU WA MAJESHI AHAMASISHA VIJANA KUJIUNGA NA JKT
    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  Jenerali Venance Mabeyo amewahamasisha vijana kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa ili waweze kupata stadi za...
  • UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA GEITA WAFIKIA ASILIMIA 35
    Kaimu Mganga mfawidhi Mkoa wa Geita,Dkt Joseph Odero akizungumza na  Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali Teule ya mkoa wa Geita Bw ,Simon Rwey...
  • VYUO 20 VYAFUTIWA USAJILI NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
    Leo June 8, 2018  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limefuta usajili wa vyuo 20 kwa kushindwa kufuata utaratibu wa usaji...

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2018 (289)
    • ►  June (13)
    • ►  May (63)
    • ►  April (93)
    • ►  March (43)
    • ►  February (41)
    • ►  January (36)
  • ►  2017 (406)
    • ►  December (10)
    • ►  November (64)
    • ►  October (30)
    • ►  September (34)
    • ►  August (25)
    • ►  July (8)
    • ►  June (12)
    • ►  May (24)
    • ►  April (49)
    • ►  March (39)
    • ►  February (66)
    • ►  January (45)
  • ▼  2016 (711)
    • ►  December (19)
    • ►  November (26)
    • ▼  October (46)
      • TAARIFA KUTOKA IKULU KUHUSU SIKU YA KWANZA YA ZIAR...
      • TEMESA YAANZISHA PROGRAMU YA KUBAINI VIPURI BANDIA.
      • SHULE YA MSINGI BUTWA HAINA WALIMU WA KIKE
      • MTENDAJI MKUU TEMESA AWATAKA WAFANYAKAZI WA MV TAN...
      • MKUU WA WILAYA YA BUKOMBE JOSEPHAT MAGANGA ATOA SE...
      • MOROCCO KUJENGA UWANJA WA MPIRA MKOANI DODOMA.
      • UDSM WATAKIWA KUHAKIKISHA KINAENDELEA KUWA CHUO KI...
      • MKURUGENZI WA HABARI AWATAKA WADAU WA TASNIA YA HA...
      • MAKAMBA ASIKITISHWA NA UPUNGUFU WA MAJI ZIWA RUKWA...
      • MJADALA WA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI W...
      • KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YA...
      • MAGONJWA YASIOAMBUKIZWA TISHIO KWA VIFO VYA WATOTO...
      • MIKOA SABA NCHINI KUNUFAIKA NA MRADI WA MPANGO WA...
      • WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI GEITA BADO NI CHANGAM...
      • WAZIRI NAPE:MUSWADA WA HABARI KUIBADILI TAALUMA
      • WATU 10 WAPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA AJALI YA BASI ...
      • WATU 13 WAFIKISHWA KIZIMBANI KWA MAUAJI YA WATAFIT...
      • JAMBAZI AWAJERUHI KWA BOMU ASKARI NA RAIA WANNE MK...
      • GGM YAFADHILI MILIONI 20 KWA AJILI YA MAKTABA KATI...
      • WAZIRI MWIJAGE AITAKA NBS KWA KUSHIRIKIANA NA WADA...
      • MHE. KAIRUKI AWAHIMIZA WATUMISHI WA UMMA MKOANI MW...
      • TEMESA SHINYANGA YAZIDAI MILLIONI 163 HALMASHAURI,...
      • WACHIMBAJI WA MADINI WATAKIWA KUJIPATIA ELIMU NA T...
      • MHE ANASTAZIA WAMBURA ATEMBELEA JAKAYA MRISHO KIKW...
      • PICHA:GARI ILIYOMBEBA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE...
      • MTENDAJI MKUU TEMESA AWAFUKUZA KAZI WAFANYAKAZI SI...
      • SERIKALI YABARIKI MBIO ZA KILI MARATHON
      • PICHA:WAZIRI NAPE NNAUYE ASHIRIKI SIKU YA KITAIFA ...
      • SERIKALI YAKIRI UHABA WA DAWA HOSPITALINI
      • RAIS MAGUFULI AFUTA SAFARI ZA VIONGOZI WA SERIKALI...
      • MTENDAJI MKUU TEMESA AWATAKA WATENDAJI WAKE KUJIT...
      • PICHA:DKT. NDUMBARO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA NCHI...
      • PICHA:MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA SHEM...
      • RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KW...
      • SERIKALI KUHAKIKISHA IDADI KUBWA YA WANANCHI VIJIJ...
      • SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AFUMUA KAMATI YA BUNGE N...
      • PICHA:WAZIRI NAPE NNAUYE ASEMA NGOMA ZA ASILI NI C...
      • WALIOMPIGA MWANAFUNZI MBEYA DAY WAFUKUZWA CHUO
      • PICHA:WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO PR...
      • BEI ZA MAFUTA KWA MWEZI OKTOBA ZASHUKA
      • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALAANI MAUAJI YA WATAF...
      • PICHA:RAIS WA CONGO JOSEPH KABILA AHAIDI KUENDELE...
      • PICHA:MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AFUN...
      • PICHA:RAIS MAGUFULI ALIVYOMPOKEA RAIS WA CONGO JOS...
      • RIPOTI:BENKI YA DUNIA YATAJA IDADI YA WATU MASIKIN...
      • WAZIRI NAPE NNAUYE ATOA TAMKO DHIDI YA MECHI ILIYO...
    • ►  September (59)
    • ►  August (62)
    • ►  July (68)
    • ►  June (98)
    • ►  May (96)
    • ►  April (87)
    • ►  March (101)
    • ►  February (49)
Simple theme. Powered by Blogger.