Monday 10 October 2016

PICHA:MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA SHEMEJIE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE MJINI BAGAMOYO LEO OKTOBA 10, 2016



Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Ramadhani Saburi, shemejie Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016



Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akimfariji Bibi Maguno Binti Athumani ambaye ni  mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemejie (Rais Mstaafu)   Marehemu Mariam Ramadhani Saburi   aliyefariki jana na kuzikwa  huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016


Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na  Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete (kulia) akimfariji Bi Maguno Binti Athumani ambaye ni mkwe wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemejie (Rais Mstaafu)  Marehemu Mariam Ramadhani Saburi aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016



Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mkwewe Bi Maguno Binti Athumani kwenye  msiba wa shemejie (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam Ramadhani Saburi  aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016


 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa mkono wa pole Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemejie (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Ramadhani Saburi  aliyefariki jana na kuzikwa  huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016


Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwafariji watoto wa  shemejie Rais Mstaafu Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Marehemu Mariam Ramadhani Saburi,    aliyefariki jana na kuzikwa huko Bagamoyo leo Oktoba 10, 2016

No comments:

Post a Comment