
Hii ndiyo gari aina ya Mercedez Benz,ambayo ilimbeba Marehemu Mwalimu Julius Nyerere kutoka nyumbani kwake Msasani Dar es Salaam kumpeleka uwanja wa ndege wa Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu huko katika hospital ya Mt Thomas jijini London nchini Uingereza,ilikuwa tarehe 31.8.1999.
Ni gari iliyotengenezwa nchini Ujerumani mwaka 1996 na Julius alikuwa akiitumia katika shughuli zake mbali mbali jijini Dar
No comments:
Post a Comment