88.9 STORM FM - GEITA

KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870

Pages

  • Home
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • BIASHARA NA UCHUMI
  • MICHEZO NA BURUDANI
  • AFYA
  • ELIMU

Saturday, 22 October 2016

MJADALA WA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WAENDELEO MJINI DODOMA CHINI YA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII.


 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ikiendelea na majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.




 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba (kulia) akielezea  jambo kwa wajumbe wa Kamati yake na viongozi na watendaji wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye kushoto) akijibu hoja mbalimbali za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba



 Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (katikati) akisisitiza jambo kwa  Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.





 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson (kushoto) akifafanua jambo wakati wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.



 Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel  akijibu hoja zilizotolewa na baadhi ya wajumbe ambao wanashiriki kuuchambua Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari  leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma.



 Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia majadiliano na hoja mbalimbali katika kikao cha kuujadili  Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kinachoendelea Mjini Dodoma leo Oktoba 21,2016.

Posted by Unknown at 05:41
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • MSAIDIZI WA RAIS MAGUFULI AKARIBISHWA RASMI IKULU
    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amemkaribisha Ikulu Msaidizi wa Rais Magufuli Kanali Mlunga.  Kanali Mlun...
  • RAIS MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MABASI YA MWENDO KASI LEO JIJINI DAR
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Joseph  Magufuli, amezindua Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji wa Hudu...
  • PICHA:USIKU WA SNURA NA MSAMBWANDA DADAZ NDANI YA DESIRE PARK.
    Dj Hk the Monster pamoja na Kg thedeejay wakifanya yao.   Mwanakwetu Idrissa Salum akitahamaki mambo ya chura.  Team y...
  • BAADHI YA WAKAZI WA BUKOMBE MKOANI GEITA WAKWERWA NA UTUNZAJI HAFIFU WA MIFUGO
    Baadhi ya wananchi wilayani Bukombe mkoani Geita wameiomba serikali kusimamia sheria za mifugo ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza k...
  • MBUNGE WA GEITA VIJIJINI ATOA NENO JUU YA ENEO LA STENDI YA IHANAMILO
    Kahimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita akielezea juu ya utatuzi wa tatizo ambalo limeonekana kwenye kijiji hicho juu ya kuu...
  • MTANGAZAJI WA STORM FM ,JOEL MADUKA AMVISHA PETE YA UCHUMBA BI.DEBORA JACKSON.
    Kulia ni Joel akimtambulisha na kuelezea sifa za Mchumba wake mbele ya waumini wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya Ilemela Mkoani Mwanza. ...
  • NAIBU WAZIRI WA MADINI BITEKO AUTAKA UONGOZI WA CHUO CHA MADINI WATAKIWA KUJITASIMINI
    Naibu Waziri wa Wizara ya Madini Mhe Dotto Mashaka Biteko akisikiliza kwa makini maelezo kuhusu mashine zilizotolewa na wafadhili pasina...
  • SERIKALI YA KIJIJI CHA LWAMGASA HATIANI KUSHITAKIWA MAHAKAMANI
    Mkuu wa wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akitoa maagizo wakati wa mkutano wa kusoma mapato na matumizi uliofanyika kwenye kijiji cha L...
  • SHULE ZA SEKONDARI KIBONDO ZAONGOZA KWA UFAULU KITAIFA
    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (Mb) akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya kuwasili kwenye jimbo lake l...
  • TRA YATAIFISHA NA KUGAWA BURE SUKARI MIFUKO 5,319 TOKA BRAZIL YENYE THAMANI YA SH 373.5 MILIONI
    Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko 5319 yenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Million 373.5  kwa Taasisi ...

Popular Posts

  • RAISI WA SUDAN KUSINI SALVA KIIR AWASILI NCHINI TANZANIA KWA ZIARA YA SIKU MOJA
    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Bi Mindi Kasiga amesema Rais Kiir anafanya ziara ya kikazi ya siku moja ambapo anatarajiwa kuwa na...
  • HOFU, KUTOJIAMINI ZAPELEKEA UPOTEVU WA HAKI KWA WANAWAKE GEITA
    Baadhi ya wadau wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa mwanamke wakiwa kwenye kikao cha pamoja kilichokuwa kimelenga kujadili sera na sheria y...
  • VYUO 20 VYAFUTIWA USAJILI NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
    Leo June 8, 2018  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limefuta usajili wa vyuo 20 kwa kushindwa kufuata utaratibu wa usaji...
  • MANCHESTER UNITED YAMFUTA KAZI LOUIS VAN GAAL
    Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefutwa kazi kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi...
  • PM MAJALIWA - TUNA KAZI KUBWA YA KUELIMISHA JAMII KUHUSU FISTULA
    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna kazi kubwa kuhakikisha jamii inafikishiwa ujumbe kuhusu tatizo la fistula na at...
  • MFUMUKO WA BEI NCHINI WAENDELEA KUPUNGUA TOKA 3.8% HADI 3.6%
     Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo akifafanua jambo alipokuwa...
  • SHULE ZA SEKONDARI KIBONDO ZAONGOZA KWA UFAULU KITAIFA
    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (Mb) akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya kuwasili kwenye jimbo lake l...
  • KINARA WA UTEKAJI AUWAWA MKOANI GEITA
    Mtu mmoja anayejulikana kwa majina ya Panda Kinasa mwenye miaka 36 anayetuhumiwa kuwa kinara wa utekaji  watu ameuwawa kwa kupigwa na risa...
  • WALIMU SHULE YA MSINGI ISABILO WAGOMA KUFANYA KAZI
    Walimu  wa shule ya msingi Isabilo wilaya na Mkoa wa Geita wamegoma kufanya kazi tangu Januari 25 mwaka huu  kutokana  na kile kinachodaiw...
  • WANANCHI WA NYAKAGWE WAIOMBA SERIKALI KUWATENGENEZEA DARAJA
    Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Nyakagwe wakivuka Mto kwa kuvua viatu kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye eneo hilo. Mwan...

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2018 (289)
    • ►  June (13)
    • ►  May (63)
    • ►  April (93)
    • ►  March (43)
    • ►  February (41)
    • ►  January (36)
  • ►  2017 (406)
    • ►  December (10)
    • ►  November (64)
    • ►  October (30)
    • ►  September (34)
    • ►  August (25)
    • ►  July (8)
    • ►  June (12)
    • ►  May (24)
    • ►  April (49)
    • ►  March (39)
    • ►  February (66)
    • ►  January (45)
  • ▼  2016 (711)
    • ►  December (19)
    • ►  November (26)
    • ▼  October (46)
      • TAARIFA KUTOKA IKULU KUHUSU SIKU YA KWANZA YA ZIAR...
      • TEMESA YAANZISHA PROGRAMU YA KUBAINI VIPURI BANDIA.
      • SHULE YA MSINGI BUTWA HAINA WALIMU WA KIKE
      • MTENDAJI MKUU TEMESA AWATAKA WAFANYAKAZI WA MV TAN...
      • MKUU WA WILAYA YA BUKOMBE JOSEPHAT MAGANGA ATOA SE...
      • MOROCCO KUJENGA UWANJA WA MPIRA MKOANI DODOMA.
      • UDSM WATAKIWA KUHAKIKISHA KINAENDELEA KUWA CHUO KI...
      • MKURUGENZI WA HABARI AWATAKA WADAU WA TASNIA YA HA...
      • MAKAMBA ASIKITISHWA NA UPUNGUFU WA MAJI ZIWA RUKWA...
      • MJADALA WA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI W...
      • KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YA...
      • MAGONJWA YASIOAMBUKIZWA TISHIO KWA VIFO VYA WATOTO...
      • MIKOA SABA NCHINI KUNUFAIKA NA MRADI WA MPANGO WA...
      • WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI GEITA BADO NI CHANGAM...
      • WAZIRI NAPE:MUSWADA WA HABARI KUIBADILI TAALUMA
      • WATU 10 WAPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA AJALI YA BASI ...
      • WATU 13 WAFIKISHWA KIZIMBANI KWA MAUAJI YA WATAFIT...
      • JAMBAZI AWAJERUHI KWA BOMU ASKARI NA RAIA WANNE MK...
      • GGM YAFADHILI MILIONI 20 KWA AJILI YA MAKTABA KATI...
      • WAZIRI MWIJAGE AITAKA NBS KWA KUSHIRIKIANA NA WADA...
      • MHE. KAIRUKI AWAHIMIZA WATUMISHI WA UMMA MKOANI MW...
      • TEMESA SHINYANGA YAZIDAI MILLIONI 163 HALMASHAURI,...
      • WACHIMBAJI WA MADINI WATAKIWA KUJIPATIA ELIMU NA T...
      • MHE ANASTAZIA WAMBURA ATEMBELEA JAKAYA MRISHO KIKW...
      • PICHA:GARI ILIYOMBEBA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE...
      • MTENDAJI MKUU TEMESA AWAFUKUZA KAZI WAFANYAKAZI SI...
      • SERIKALI YABARIKI MBIO ZA KILI MARATHON
      • PICHA:WAZIRI NAPE NNAUYE ASHIRIKI SIKU YA KITAIFA ...
      • SERIKALI YAKIRI UHABA WA DAWA HOSPITALINI
      • RAIS MAGUFULI AFUTA SAFARI ZA VIONGOZI WA SERIKALI...
      • MTENDAJI MKUU TEMESA AWATAKA WATENDAJI WAKE KUJIT...
      • PICHA:DKT. NDUMBARO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA NCHI...
      • PICHA:MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA MSIBA WA SHEM...
      • RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KW...
      • SERIKALI KUHAKIKISHA IDADI KUBWA YA WANANCHI VIJIJ...
      • SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AFUMUA KAMATI YA BUNGE N...
      • PICHA:WAZIRI NAPE NNAUYE ASEMA NGOMA ZA ASILI NI C...
      • WALIOMPIGA MWANAFUNZI MBEYA DAY WAFUKUZWA CHUO
      • PICHA:WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO PR...
      • BEI ZA MAFUTA KWA MWEZI OKTOBA ZASHUKA
      • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALAANI MAUAJI YA WATAF...
      • PICHA:RAIS WA CONGO JOSEPH KABILA AHAIDI KUENDELE...
      • PICHA:MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AFUN...
      • PICHA:RAIS MAGUFULI ALIVYOMPOKEA RAIS WA CONGO JOS...
      • RIPOTI:BENKI YA DUNIA YATAJA IDADI YA WATU MASIKIN...
      • WAZIRI NAPE NNAUYE ATOA TAMKO DHIDI YA MECHI ILIYO...
    • ►  September (59)
    • ►  August (62)
    • ►  July (68)
    • ►  June (98)
    • ►  May (96)
    • ►  April (87)
    • ►  March (101)
    • ►  February (49)
Simple theme. Powered by Blogger.