Katika hali isiyo ya kawaida wananchi wa mtaa wa samina kata ya mtakuja wilaya
na Mkoa wa Geita wamejikuta wakiingiwa na taaruki ni baada ya mti
mbwa ulionguka kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita kukuta
umesimama wenyewe.
KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870
Tuesday, 10 January 2017
Friday, 6 January 2017
DC GEITA AKUBALIKA KWA WANANCHI KUTOKANA NA UTENDAJI WAKE WA KAZI
Wednesday, 4 January 2017
MAAMUZI YA WAZIRI MWIGULU NCHEMBA KUHUSU MAUAJI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
MAUAJI KWA WALINZI YAENDELEA KUWA TISHIO MKOANI GEITA
Monday, 2 January 2017
MOTO WATEKETEZA MADUKA 14 ARUSHA
MTOTO AMUUA BABA YAKE NA KUTAKA KUMFUKIA

Jeshi la Polisi
mkoani Ruvuma linamshikilia Patrick Malindisa (29) mkazi wa Mtaa wa Namanyigu
Manispaa ya Songea kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi Athanasi Malindisa (70)
kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani na kidevuni na kisha kutaka
kuufukia kwenye shimo alilochimba ndani ya nyumba yao.
MKULIMA AFUNGA SAFARI KUTOKA URAMBO MPAKA BUKOBA KUMUONA RAIS MAGUFULI
Mkulima wa tumbaku
aliyesafiri kutoka Wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Moshi Rubibi akitafuta
upenyo wa kumfikishia Rais John Magufuli kilio cha wakulima, alifanikiwa
kufanya hivyo mjini Bukoba wa kutumia staili iliyomvuta Rais
kumsikiliza.
Subscribe to:
Posts (Atom)



