Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Nyalandu ameandika Ujumbe huu kama unavyosomeka hapo chini.
KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870
Monday, 30 October 2017
LAZARO NYALANDU AJIUZULU UBUNGE NA KUJIONDOA CCM
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Nyalandu ameandika Ujumbe huu kama unavyosomeka hapo chini.
RC LUGHUMBI AMEWASILI RASMI MKOANI GEITA KUTEKELEZA MAJUKUMU
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Lughumbi akisalimiana na watumishi pamoja na wakuu wa idara mbali mbali Mkoani humo. |


Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Lughumbi akimkabidhi hati ya pongezi Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita ambaye kwasasa amestaafu Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita ambaye kwasasa amestaafu Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akionesha Hati ya pongezi ambayo amepatiwa na Mkoa wa Geita wakati alipokuwa akiagana na watumishi. |
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita ambaye kwasasa amestaafu Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akimkabidhi Mkuu wa Mkoa mambo muhimu ambayo ameyaandika wakati wa hafla ya kukabidhiana ofisi. |
Wakuu wa Wilaya wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa huo pamoja na viongozi wa chama cha mapinduzi(CCM). |

Mkuu wa Mkoa wa Geita akiwa kwenye ofisi yake kwaajili ya kuanza shughuli rasmi.
Friday, 27 October 2017
MATUKIO MBALIMBALI KATIKA HAFLA YA UAPISHAJI WA VIONGOZI

Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akila
kiapo cha kushika wadhifa huo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati
ya kiapo cha Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi.
Suzan Mlawi mara baada ya kula kiapo hicho leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
vitendea kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi.
Suzan Mlawi mara baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar
es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nicholaus Benjamin
William akila kiapo cha kushika wadhifa huo mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nicholaus Benjamin
William akisaini hati ya kiapo cha kushika wadhifa huo mbele ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
vitendea kazi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Nicholaus Benjamin William mara baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo
leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
MUSWADA WA SHERIA MPYA YA TTCL KULETA MABADILIKO MAKUBWA
WIZARA YA MADINI NA YA ARDHI KUHAKIKI UPYA MADAI YA FIDIA BUCKREEF
Waziri wa
Madini,Bi Angellah Kairuki akiwa na Meneja wa Mgodi wa Buckreef Peter
Zishoo(Katikatika) na pembeni ni Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi(CCM)Mkoani
Geita Joseph Kasheku Msukuma wakati walipotembelea baadhi ya maeneo ya Mgodi
Huo.
Waziri wa
Madini,Bi Angellah Kairuki akiwa na mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Wilaya
ya Geita,Mwl Herman Kapufi wakati wa kikao na wabia wa mgodi wa Buckreef
alipotembea kwa lengo la kujadili namna ambavyo wanatakiwa kuanza kazi za
uchimbaji kwenye mgodi huo.
Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Geita na Mbunge Joseph Kasheku Msukuma akiwa kwenye kikao hicho wakati
alipokuwa akichangia hoja ya fidia kwa wananchi wa kata ya Busanda na Kaseme.
Mjiolojia wa mgodi huo Bw Anthony Minde,akisisitiza
kutokuafikia swala la kuwalipa fidia baadhi ya wananchi.
Waziri wa
Madini,Bi Angellah Kairuki akisisitiza kupereka taarifa hiyo kwenye Wizara
ya ardhi kwaajili ya kutathimini kwa upya maeneo hayo.
Baadhi ya wajumbe waliokuwepo kwenye Kikao hicho.
Thursday, 26 October 2017
WAKAZI WA WILAYA YA GEITA WALIOVAMIA HIFADHI ZA MISITU WAZIDI WAONDOLEWA
Eneo la hifadhi ya mistu likiwa limepandwa mahindi ambapo zoezi la kufyeka mahindi hayo likiendelea. |
Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herma Kapufi akiongoza kikosi kazi cha kuwatoa wananchi ambao wamevamia kwenye Hifadhi ya mistu. |
Tanuru la Mkaa likivurugwa kwenye mstu wa Samina |
Eneo la hifadhi ambalo limekatwa miti ili kupisha shughuli za kilimo. |
Kundi la Ng'ombe wakiwa wamekamatwa kwenye hifadhi ya misitu ya Samina. |
Kibanda kikichomwa moto ambacho kilikutwa ndani ya hifadhi. |
Nyumba ikiwa imebomolewa wakati wa zoezi la kuwaondoa wananchi walivyamia maeneo ya hifadhi. |
Serikali wilayani Geita imeendelea na zoezi la
kuwaondoa baadhi ya wananchi waliovamia hifadhi za Misitu kwa kutoa na kuharibu
mazao yaliyokuwa yamepandwa na kubomoa vibanda vilivyo ndani ya hifadhi.
PICHA: KAMATI YA BUNGE YA BAJETI IMEKUTANA LEO MJINI DODOMA
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa
katika kikao cha Kamati hiyo Mjini Dodoma ambapo walikuwa Mwenyekiti wa Kamati
ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo
kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi
kujadili kuhusu vyanzo vya mapato
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa
Hawa Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo
leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya
Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka
2018/19
Mjumbe wa Kamati ya Bajeti, Mheshimiwa Janeth
Mbene akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini
Dodoma, Kamati Bajeti 3 ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi
kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za
kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018
TUME YA UTUMISHI WA WALIMU YAANZA KUTEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI JAFO
Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro Bi. Siriel Mchembe akieleza mikakati iliyosaidia Wilaya hiyo kuongeza kiwango cha ufaulu hadi kufikia asilimia zaidi ya 70 mwaka huu kwa Shule za msingi wakati wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu walipomtembelea Ofisini kwake ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa Tume
Afisa Utumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu Bi.
Anyagwe Lupembe akitoa ufafanuzi kuhusu taratibu sheria na Kanuni
zinazotumika katika utumishi wa Umma kwa watumishi wa Tume ya utumishi wa
Walimu Wilaya ya Gairo wakati wa ziara ya Ujumbe wa Tume
hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA wa Tume ya utumishi wa Walimu Bi.
Devotha Gabriel akiwasiliosha mada kwa watumishi wa Tume hiyo Wilaya ya Gairo
kuhusu matumizi salama ya vifaa vya TEHAMA pamoja na njia sahihi za mawasilisno
kwa njia ya mtandao.
Mkuu wa Wilaya ya
Gairo Mkoani Morogoro Bi. Siriel Mchemba (katikati) akiwa kwenye picha ya
pamoja na Ujumbe wa Tume ya utumishi wa Walimu uliongozwa na Mkuu wa Kitengo
cha TEHAMA wa Tume ya Utumishi wa Walimu Bi. Devotha Gabriel. Wa kwanza kulia
ni Katibu Tawala wilaya ya Gairo Bw. Adam Bibangaba.
Wajumbe kutoka Tume ya
Utumishi wa Walimu wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro Bi.
Siriel Mchemba wakati walipomtembelea Ofisini kwake.
(Picha zote na
Frank Mvungi- Gairo, Morogoro)
Wednesday, 25 October 2017
MATUKIO: NAIBU WAZIRI WA HABARI MH. SHONZA ATEMBELEA OFISI ZA TCRA

Naibu
Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza
(kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Dkt.
James Kilaba (kulia) alipofanya ziara TCRA kuangalia namna taasisi hiyo
inavyosimamia maudhui ya vyombo vya habari nchini leo Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi
Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Dkt. James Kilaba (katikati) akizungumza
alipomtembeza Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Juliana Shonza kuangalia gari lililofungwa mtambo wa kusimamia masafa ya redio
nchini wakati wa ziara yake TCRA leo Jijini Dar es Salaam.

Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Posta TCRA Bibi. Cecilia Mkoba (kulia) akimuelezea Naibu
Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza
(kushoto) namna mawasiliano zamani yalivyokuwa yakifikishwa kutoka eneo moja
kwenda eneo lingine alipotembelea makumbusho ya mawasiliano leo wakati wa ziara
yake TCRA Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi
Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Dkt. James Kilaba (kulia) akifafanua jambo
kwa Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana
Shonza (kushoto) alipotembelea Idara inayosimamia maudhui ya televisheni zote
nchini wakati wa ziara yake TCRA leo Jijini Dar es Salaam

Naibu
Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia)
akizungumza na menejimenti ya TCRA alipofanya ziara katika Taasisi hiyo
kuangalia namna inavyosimamia maudhui ya vyombo vya habari leo Jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Dkt. James
Kilaba
WAKAZI WA CHIKOBE GEITA WALALAMIKIA KUCHELEWA KWA MRADI WA MAJI
Mabomba
ambayo yanatoka kwenye mradi wa Nchakolongo yakiwa yametandazwa wakati Mkuu wa
Wilaya ya Geita alipokwenda kutembelea na kukagua maendeleo ya mradi
pamoja na wataalam.
Chanzo
cha maji ambacho ndio kinatumiwa na wanakijiji wa kijiji cha Chikobe.
Mkuu wa
Wilaya ya Geita ,Mwl Herma Kapufi akizungumza na wananchi wa kijiji cha Chikobe
juu ya hatua ambazo zinaendelea kutekelezwa na serikali ili kumaliza mradi huo
na tatizo la maji kwenye kijiji hicho.
Subscribe to:
Posts (Atom)