Thursday 26 October 2017

PICHA: KAMATI YA BUNGE YA BAJETI IMEKUTANA LEO MJINI DODOMA


Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo Mjini Dodoma ambapo walikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato 


Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018/19


Mjumbe wa Kamati ya Bajeti, Mheshimiwa Janeth Mbene akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma, Kamati Bajeti 3 ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018


No comments:

Post a Comment