Sunday 15 October 2017

BANK YA TPB YATOA MSAADA WA MASHUKA NA VYANDARAU HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA.

 MKURUGENZI WA UENDESHAJI NA TEKNOHAMA KUTOKA MAKAO MAKUU YA BANK YA TPB JEMA MSUYA WAPILI KUTOKA KUSHOTO AKIKABIDHI MASHUKA NA VYANDARUA KWA AFISA TAKWIMU WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA FLORA SANGIWA AMBAYE ALIMWAKILISHA MKURUGENZI.



 WAFANYAKAZI WA BANK YA TPB WAKISOMBA VYANDARUA  NA MASHUKA MARA BAADA YA KUFIKA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA.

 AFISA MAWASILIANO WA BANK YA TPB MOVES MOSES AKIWAONYESHA WAANDISHI WA HABARI UBORA WA VYANDARUA WALIVYOVITOA KATIKA HOSPITALI HIYO.

 WAFANYAKAZI WA BANK YA TPB WAKITETA JAMBO MUDA MCHACHE KABLA YA KUANZA KWA ZOEZI LA UGAWAJI WA MASHUKA NA VYANDARUA.

 MGANGA MFAWIDHI WA OSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA FREDRICK MALUNDE AKITETA JAMBO NA MENEJA WA TAWI LA TPB KAHAMA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA HIVYO.


 BAADHI WA WAHUDUMU WA AFYA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA WAKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO KUSHUHUDIA UTOLEWAJI WA MSAADA HUO WA MASHUKA NA VYANDARUA.

 WAANDISHI WA HABARI NA BAADHI YA VIONGOZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA NA WAFANYAKAZI WA TPB WAKIFUATILIA ZOEZI LA UTOLEWAJI WA VIFAA HIVYO.

 MGANGA MFAWIDHI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA FREDRICK MALUNDE ALIYESIMAMA AKITOA TATHIMINI YA HALI YA HOSPITALI KUHUSU UPUNGUFU WA MASHUKA NA VYANDARUA KATIKA HOSPITALI HIYO.

 BAADHI YA WAHUDUMU WA AFYA WAKIFUATILIA ZOEZI LA UTOLEWAJI WA VIFAA HIVYO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA.

  MGANGA MKUU WA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA DR LUCAS DAVID ALIYESIMAAM AKITOA NENO LA SHUKRANI KWA BANK YA TPB KATIKA ZOEZI LA KUPOKEA VIFAA HIVYO.

 AFISA TAKWIMU WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA FROLA SANGIWA ALIYEMWAKILISHA MKURUGENZI WA MJI AKITOA NENO KWA NIABA YA HALMASHAURI.

MKURUGENZI WA UENDESHAJI NA TEKNOHAMA KUTOKA MAKAO MAKUU YA BANK YA TPB JEMA MSUYA AKITOA NENO WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA HIVYO.

AFISA TAKWIMU WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA FROLA SANGIWA ALIYEMWAKILISHA MKURUGENZI WA MJIAKIMKABIDHI BAHASHA YA NENO LA SHUKRANI MR JEMA MSUYA KUTOAK BANK YA TPB
PICHA PAMOJA BAADA YA MAKABIDHIANO YA VIFAA HIVYO KATIKA HOSPITALI HIYO.

MKURUGENZI WA UENDESHAJI NA TEKNOHAMA KUTOKA MAKAO MAKUU YA BANK YA TPB JEMA MSUYAAKIWA NA MGANGA MFAWIDHI WA HOSPITALI HIYO DR FREDRICK MALUNDE WAKIMFUNIKA MGONJWA NA SHUKA JHIPYA LILILOTOLEWA NA BANK YA TPB.
ZOEZI LA KUWAFUNIKA WAGONJWA LIKIENDELEA KATIKA WODI YA WANAWAKE.

BAADA YA ZOEZI WAFANYAKAZI WA TPB WAKITOKA KATIKA HOSPITALI HIYO.

PICHA NA WILLIAM BUNDALA(KIJUKUU CHA BIBI K)

Takriban wagonjwa  elfu 24 hadi elfu 30 wanapokelewa kila mwezi katika hospitali ya  Mji wa KAHAMA mkoani Shinyanga idadi ambayo inatajwa kuwa ni kubwa ukilinganisha na miundombinu ya hospitali hiyo.

Hayo yamesemwa leo na Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo, Dokta FREDRICK MALUNDE wakati akipokea  msaada wa  mashuka 100 na vyandarua   50  vyenye thamani ya shilingi milioni mbili vilivyotolewa na Banki ya TPB.

Amesema kutokana na wingi wa wagonjwa wadau wanapaswa kuguswa kutoa  misaada ya vifaa ili kukabiliana na changamoto hizo.

Naye Mkurugenzi  Uendeshaji na Teknohama  kutoka makao makuu ya Bank ya TPB JEMA MSUYA amesema Benki hiyo itaendelea kusaidia kuchangia miradi  ya maendeleo katika sekta mbalimbali huku akiwaomba wadau wengine wajitokeze kusaidia  sekta za afya.

Naye Afisa Takwimu wa Halmashauri yam Mji wa KAHAMA, FLORA SANGIWA ambaye amemwakilisha  Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo amesema halmashauri hiyo itaendelea kuthamani michango ya wadau wa maendeleo na kuipongeza benki ya TPB kwa msaada huo.

No comments:

Post a Comment